Rais Samia mpige chini Humphrey Polepole, ni jipu!

Life is not that serious

89% ya Viongozi waliopo madarakani ni wachumia tumbo,,, wakitoka ndio wanachumia akili...

Hata polepole kesho akipewa cheo hatasema lolote kati ya haya anayosema leo...

Trust noBody
Heri hata hicho cha ubunge awaachie wenye uaminifu kwa mama.
 
We ni bwege na mchumia tumbo km wapuuzi wenzio tu,kichwa kimejaa elimu vyeti
 
Ona aibu,
 
Kwa akili zako unataka tuwe na taifa la kunyamazisha wananchi wake!. Wasomi aina yenu ndiyo wameleta unafiki serikalini na kwenye chama. AIBU SANA
Pole pole kama mbunge na kada anajua vyema anaweza wapi kuongea alichoongea bila kuleta tafrani.
Tunampiga utambi tu , alipuliwe!
 
Hakuna awamu ya 6, ni kiporo cha awamu ya 5
Kasome katiba ndiyo utaelewa
 
 

Attachments

  • VID-20220131-WA0068.mp4
    33.5 MB
Na nyie mnabana demokrasia?!!!
 
Hawa wote Ni sisiemu,tofauti Ni kwamba mwingine alikaa jikoni lakini alishindwa kuchoma nyama vizuri ikaungua. Huyu mwingine anachoma nyama vema anakula isiyoungua. Sasa polepole nyama ake imeshaungua atulie.

Asitupigie kelele kana kwamba yeye alikua msafi Sana enzi za mtawala wake atuache wabongo tuumie kivyetu. Ushauri wangu huyu alisumbua zaidi wamtoe huo uanachama ili aongee vizuri nyauba mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…