masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
- Thread starter
- #61
Ni kweli Polepole aliteuliwa na Magufuli, na hilo ni mbaya zaidi, mbaya kwa sababu Polepole anafikiri yupo pale kumwimbia sifa na utukufu Mafufuli.Inaonyesha ni jinsi gani uelewa wako ulivyo mdogo. Kwanza mama Samia siye aliyemteua Ubunge Polepole. Polepole aliteuliwa na Magufuli.
Kuhusu hilo la "kula kwa urefu wa kamba yako ...." hata kama wanaCCM mtakuwa mmeielewa tofauti hilo halibadili maana halisi ya alichokisema. Uzuri alitoa pia mifano ya malipo kwenye meli na ujenzi wa barabara unavyokuwa compromised .....!!
Kumuondoa Polepole ni sawa kwa kuwa ni KIROBOTO ndani ya CCM na ana uchungu ila anachokisema ni kweli .... Maza kachemka na kaonyesha msimamo wake wazi kuhusu anavyoamini kuhusu RUSWA.
Wakati wa Awamu ya 5, kama msemaji wa chama, wala hakuona upotevu wa 1.5 tril.
Kama msemaji wa chama cha wanyonge hakusikia ubambikaji wa kesi za uhujumu, wala hakusikia kutekwa kina Mo na Rima Mkatoliki.
Lissu alipopigwa risasi na mtu wenu watu wenye roho safi wslistuka sana, hata Mama Samia alienda kumuona hospitali.
Lakini chama, kimyaa!
Sasa mshamba huyu alisifia utamu wa ma V8, halafu leo kaoata mdomo wa kuongelea masuala yaliyimzidi uwezo wa kufikiri.
NEVER!