kidereko
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 882
- 1,262
Siku zake zinahesabika huyoPolepole endeleza kukoleza kuni mbichi kwenye tanuru - bado wanaibuka !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zake zinahesabika huyoPolepole endeleza kukoleza kuni mbichi kwenye tanuru - bado wanaibuka !!
Mkuu polepole Ni kiongozi, anajua maana ya uongozi, anajua MAADILI ya uongozi, anajua miiko, nin aseme wapi kwa wakati upi,Ingawa naelewa kwa dhati kabisa Polepole ni mnafiki aliyetukuka lakini hii haki yake ya kutoa maoni haiwezi kupokwa kwa namna yeyote kwani ni haki ya kikatiba na ndivyo CCM ilivyowajenga vijana wake kuwa na fikra tunduizi pasina kusahau kuhoji hojaji zenye hoja.
Au nasema uongo ndugu yangu johnthebaptist ?
Na bado tunamtukana, hatupoi kabisa. Shetani mkubwa alitaka kutuharibia nchi. Muache aendelee kuoza huko Chatoforam,kila siku mlikuwa mnatukana mpaka Magufuri akatamani malaika wangeshuka wakazima hii mitandao.
Wakati anatembea na V8 haikuwa nafasi yake kuhoji, sababu yeye ni sehemu ya utawala, hivyo walio nje walipaswa kuhoji, Ila Sasa yeye si sehemu ya utawala hivyo ni nafasi yake kuhojiAlipokuwa anakula ugali yeye alikuwa anasifia utamu wa ma VIETE tu!
Aende bench na asifie viti vya daladala!
WeWe ni mtoto wa fisadi ndio maana unamaadili,bado unaoambatana na marehemuNa bado tunamtukana, hatupoi kabisa. Shetani mkubwa alitaka kutuharibia nchi. Muache aendelee kuoza huko Chato
Hicho kiroboto kinafaa kitumbuliweWakati sisi wana CCM tulielewa vyema maana ya Rsis kuwaasa mawaziri wake kutoingiliana kimamlaka na utendaji alipoongea na baraza lake la mawaziri, kwa uwazi, wengine wameamua kumwekea Mama Samia maneno mdomoni, kwa maana hasi na isiyostahili utumishi wa umma.
Polepole, mbunge wa kuteuliwa na Rais Samia amekuwa akimnanga Mama Samia kila apatapo nafasi hiyo, na kumpinga Mama waziwazi.
Mimi mmoja wa tulioukubali, kuupokea na kuunga mkono utawala wa Awamu ya Sita, naona huyu Polepole ni msaliti, apigwe chini.
Polepole, kama Ndugai wana mipango ambayo haiko wazi.
Wakae nje ya uongozi ili mambo yao wakayasuke vizuri.
Uko sahihi ndugu, na mfano huo ni sawa na kumhoji Mama anapata wapi uhalali wa kufanya anayofanya Sasa wakati enzi zile alikaa kimyaBaadhi ya watu wanampinga Polepole kisa tu yeye hakutoka hadharani kupinga yaliyokua yanafanyika kipindi cha Magu,wanasahau kua kukaa jwake kimya kipindi kile,hakuhalalishi eti mabaya ya kipindi hiki kuendelelea kufanyika pasipo kukemewa na yeye au yeyote anayeona mambo hayaendi sawia.
Hata Ndugai alikuwa kiongozi, tena wa mhimili.Mkuu polepole Ni kiongozi, anajua maana ya uongozi, anajua MAADILI ya uongozi, anajua miiko, nin aseme wapi kwa wakati upi,
Hyu polepole kunawatu wanataka awe sawa wakati wote haiwezekani, kunawakati anazungumza akiwa nje ya mfumo hyo Ni polepole mwingine, akiwa Kama katib mwenezi hyo Ni mwingine na wa Sasa nae Ni mwingine, maana ya MAADILI ndo hyo, ila uzuri Ni 1 hajawahi kutoka nje ya MAADILI ya uongozi,
Ikiwa tu mtu anaajiriwa anabadilika na kuwa mwingine, na cku akiacha kzi anakuwa mwingie polepole Ni Nan??
Kila mtu anaunafiki wake, Sasa inategemea huo unaaa upoje we chunguza kuanzia ganzi ya juu ya taifa mpka familia, ila watu wanajitoa ufaham kwa kuwaona wenzao kuwa Ni wanaa zaidiii
Km ambavyo watu walipuuzwa zama zakeBaadhi ya watu wanampinga Polepole kisa tu yeye hakutoka hadharani kupinga yaliyokua yanafanyika kipindi cha Magu,wanasahau kua kukaa jwake kimya kipindi kile,hakuhalalishi eti mabaya ya kipindi hiki kuendelelea kufanyika pasipo kukemewa na yeye au yeyote anayeona mambo hayaendi sawia.
Majipu ya ukweli ameyakumbatia Samia huko ndani ya serikali.Wakati sisi wana CCM tulielewa vyema maana ya Rsis kuwaasa mawaziri wake kutoingiliana kimamlaka na utendaji alipoongea na baraza lake la mawaziri, kwa uwazi, wengine wameamua kumwekea Mama Samia maneno mdomoni, kwa maana hasi na isiyostahili utumishi wa umma.
Polepole, mbunge wa kuteuliwa na Rais Samia amekuwa akimnanga Mama Samia kila apatapo nafasi hiyo, na kumpinga Mama waziwazi.
Mimi mmoja wa tulioukubali, kuupokea na kuunga mkono utawala wa Awamu ya Sita, naona huyu Polepole ni msaliti, apigwe chini.
Polepole, kama Ndugai wana mipango ambayo haiko wazi.
Wakae nje ya uongozi ili mambo yao wakayasuke vizuri.
Thubutu... Ndugai tu sahizi wanawaza kesho... Kiufupi utabiri wa mwalimu unakaribia sana ni swala la muda.Wakati sisi wana CCM tulielewa vyema maana ya Rsis kuwaasa mawaziri wake kutoingiliana kimamlaka na utendaji alipoongea na baraza lake la mawaziri, kwa uwazi, wengine wameamua kumwekea Mama Samia maneno mdomoni, kwa maana hasi na isiyostahili utumishi wa umma.
Polepole, mbunge wa kuteuliwa na Rais Samia amekuwa akimnanga Mama Samia kila apatapo nafasi hiyo, na kumpinga Mama waziwazi.
Mimi mmoja wa tulioukubali, kuupokea na kuunga mkono utawala wa Awamu ya Sita, naona huyu Polepole ni msaliti, apigwe chini.
Polepole, kama Ndugai wana mipango ambayo haiko wazi.
Wakae nje ya uongozi ili mambo yao wakayasuke vizuri.
Kesho isha jichora hakuna matstizo, hata Ndugsi anajua.Thubutu... Ndugai tu sahizi wanawaza kesho... Kiufupi utabiri wa mwalimu unakaribia sana ni swala la muda.
We fala nini, tafuta mada nashabikia CHADEMA!Majipu ya ukweli ameyakumbatia Samia huko ndani ya serikali.
Msemakweli leo ni jipu kwa CCM?
Huyu akiwa jipu,je kina Makamba wanaokula urefu wa kamba kule Tanesco tuwaite nini?
Eti chama chetu?
Chenu wewe na nani...Msoga?
masopakyindi...tangu lini ulitoka chadema?
Tunavyoelewa CCM ni mali ya wananchi wote wenye uhalali wa uanachama.
Polepole ni mwanachama hai,labda kuliko hata wewe chawa.
#Hatutakiwahuni Tanzania [emoji1241]
NapeAmesema mawaziri wajitokeze kukemea kauli ya raisi, kwamba kauli yake ina utata, sasa waziri gani anaweza kukemea kauli ya raisi?
Na wewe sifa unazofanya kwa sasa huo ushamba unautoa wapi au wewe ni chawa wa mama na kazi yako ni kusifia tu?Mkuu usiongee uharo na kupitiliza!!
Polepole alikuwa zaidi ya waziri, ila ushamba hakumwacha salama, akaishia kusifia ma Vieite!
Ninachojua ipo siku utabadilika tu baada ya kuondolewa kwenye hiyo nafasi na utaanza kumnanga huyo mama.Ni kweli Polepole aliteuliwa na Magufuli, na hilo ni mbaya zaidi, mbaya kwa sababu Polepole anafikiri yupo pale kumwimbia sifa na utukufu Mafufuli.
Wakati wa Awamu ya 5, kama msemaji wa chama, wala hakuona upotevu wa 1.5 tril.
Kama msemaji wa chama cha wanyonge hakusikia ubambikaji wa kesi za uhujumu, wala hakusikia kutekwa kina Mo na Rima Mkatoliki.
Lissu alipopigwa risasi na mtu wenu watu wenye roho safi wslistuka sana, hata Mama Samia alienda kumuona hospitali.
Lakini chama, kimyaa!
Sasa mshamba huyu alisifia utamu wa ma V8, halafu leo kaoata mdomo wa kuongelea masuala yaliyimzidi uwezo wa kufikiri.
NEVER!