Unfortunately your narrow & shallow green brains meant for uchawa... π Wewethat is very significant and powerful statement by the head of state and commander in chief of defense force, politically speaking π
I will do a comprehensive analysis on that, and a coded message on it as we are approaching 2025-2030 general elections π
why panic mode and useless mayhem πUnfortunately your narrow & shallow green brains meant for uchawa... π Wewe
Una lonja mzee (kaganda)Kwanini mkuu wangu? Maana very soon tutakuwa na IGP mwanamke mi ndivyo ndoto zangu zinaniambia kabisa uhakika
Asije kudhani ni kama kuteua wakuu wa wilaya huko, anaokota tu watu.Amri jesh mkuu asiyejua hata abcz za kijeshi, kwa kuanzia tu, je tu Luten Gen mwanamke??? Au katika historia tu, tushawah hata kuwa na head wa jkt mwanamke? Au tushawahi kuwa chief of staff mwanamke?? Au tushawahi kuwa na chief wa Millitary intelligence mwanamke?? Au tushawah hata kuwa na head of Airwing mwanamke? Tushawah kuwa hata na Brigedia general mwanamke??? Tumeshawa hata kuwa na commando mwanamke???
Sasa yeye atamtoa wapi huyu bi kidude?
Maana hizo ndio posts ambazo angalau unaweza kuzimulika kumpata cdf, na mpaka ufike kwenye hizo sensitive posts lazima uwe ume fuzu hasa?
Zinatokea sema kimtindo sana hapo DRC kulikuwa na sister anaitwa Mado Dagbinza alikuwa ni moja ya walinzi wa aliyekuwa mkuu wa kikosi cha SF ya FARDC (42nd battalion) Col. Mamadou Mustapha Ndala walifariki nae wakiwa katika gari sema ilikuwa ni ambush tu iliyofanywa na waasi wa ADF ila zipo video kadhaa zilikuwa zinaonyesha yeye na wanawake baadhi wakati wa kuwaondoa M23 alikuwepo kabisa front anachezea mkwaju.Sijawah kusikia mwanajeshi mwanamke kauwawa vitani,
Wote ambao nawaona na kuwasikia ni wanaume tu
Hivi wanawake huwa hawaendagi huko kupigana ??
Ndiyo four four huko?Tutafanyaje sasa hata mimi CO wangu ni wa kike
Huyu mama jaa kwel kwelAsije kudhani ni kama kuteua wakuu wa wilaya huko, anaokota tu watu.
Mhhh roho mbaya tu mkuu, hamtaki akina komwe tupate ulajiCDFs are usually elite officers from the Generals Staff who have atleast a cadet degree in military science.
The TPDF is not a VICOBA where every Aisha and Mwajuma can just go about and do what they do best, RUN THEIR MOUTHS.
This is sacrilege.
SijakuelewqNdiyo four four huko?