Rais Samia mteue Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

Nakazia, Mwigulu must go
 
Dr. Ashatu Kijaji ana long experience katika mambo ya finance and all that lakini nadhani tatizo halipo hapo, nadhani ni mfumo mzima, you may be pure but since the system is not perfect you will end up like the system. Very sensitive posts kama hizi zitangazwe kwenye media zetu watu wagombee then wapigiwe kula bungeni the best ata emerge, angalau tukianzia hapo tunaweza ona kama inafaa. MY OPINION ANYWAY.
 
Waziri wa fedha angepewa Ustaadh Profesa Assad tungeneemeka sana.
Mzee anaakili,uzoefu,utandawazi,anajiamini,sio mwizi,mtu swala tano,hanatamaa ya uraisi,hapendi misifa
Huyo ashantu wako atabishana na mizungu na michina mijanja inayoiba mali dunia nzama kilaleo? Atakaa round table na majambazi ya dunia na akayapangua?
 
Profesa Mkenda yule wa Elimu is better than anybody else kwa sasa Tanzania
 
Mmeanza udini
 
Ccm Hao Wenyewe Kwa Wenyewe Wameoza Sana Sana
 

Natamani sana "Prof. Mussa Assad" ateuliwe waziri wa fedha yule bwana anahofu ya Mungu.
 
Machawa yako kazini kutafuta pango jipya la upigaji kutoka Kondoa
 



Mmnh?! [emoji848]
 
Unadhani malalamiko yaliyopo sasa na kwa Mpango yalikuwa hivyohivyo?
 
Mbarawa hamna kitu, Aweso muigizaji tu, Kimei ndio mtu sahihi na sio mwanasiasa
 
Hata aje Malaika lazima ujiunge chama la wapigaji tu.

Kitambo nilidhani ukiwa na macho makubwa unaona mbali.
 
Mwigulu kashindwa kung'amua kua kwenye invoice kuna ongezeko la fedha sio halali, akafanya kutest kumpelekea mama aidhinishe malipo wapige dili.mama akashtuka.
 

Ni kweli hana uwezo wowote ule na ni mjivuni kwelikweli
 
Hapana, kwenye u smart Dkt Ashatu ni genius! Ana kipaji cha akili! Fuatilia historia yake enzi anasoma IDM Mzumbe au wakati anasoma
PhD yake nchini Norway.

Umetumwa wewe akili za darasani sio Sawa na utendaji
 
Unadhani kwa nini wanawekwa kama ni zero results?
Inaweza kuwa ndumba, Alipokua Interior minister Maiti kuokotwa kwa viloba likua jambo la kawaida kwake, Minister of finance Tozo na mifumuko ya bei juu jumlisha ufisadi huu,na alipokua justice minister Kesi za kubagain na ugaid feck zilitamalaki sana.Huyu nawambia ni MTU hatar labda kama hamna ubongo.

Sent from my E6810 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…