Rais Samia mteue Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

Sana, sema Prof. Kigoma alijiingiza mambo ya dini yakamharibu na ku impair uwezo wake kazi kama ilivyo kwa Prof. Asad
Mambo ya dini? Hapa
Tuweke kumbukumbu sawa, kwa faida yavizazi vijavyo.

Prof , Asadi aliundiwa zengwe baada yakuweka hadharani ufisadi wa 1.5 tilion

Zilizo.kwa puliwa na wenye nchi.

Kumbuka wakati anahokiwa huko ugaibuni
Akasema"SAG amesha mariza kazi yake " ni udhaifu wabunge kutoihoji Serikali,, kilicho fuata aliitwa na Ndugayi kwenda kuhojiwa.
Hapo dini ilihusikaje?
 
Ana majibu ya hovyo sana huyu na sidhani kama ni mbobezi kama anavyojiona.
Kufanya kazi kwa kujikomba na unafiki pia sio weledi hata kdg
Majibu yake amerisi kwa watangulizi , hata huyo tunae tajiiwa , anaweza kuwa nayo au yakazidi.

Kumbuka sakata la nauli kivikoni. " kama mtu hawezi kulipa nail pendekezwa apige mbizi" waziri wa miundombinu (Jpm)

"Nibora wa Tanzania wale nyasi lakini , tununue ndege ya Rais,,waziri wafedha (M,P)
 
Hakuna ujamaa pale, ujamaa ulikwisha kufa na Mwalimu kile kimebaki kuwa chama cha mapinduzi . Na sijui hata mapinduzi yao wanapindua nini😒

Ujamaa bado up sema wameupaka marashi usizidi kunuka.

Mapinduzi ni mbinu ya Ujamaa pia. Kama mapinduzi ya Urusi yaliyoandaliwa na Lenin na kuingiza Ukomunisti Urusi. Au mapinduzi ya Cuba yaliyoletwa na wakina Castro na Che Guevera yakaingiza Ukomunisti Cuba.
 
Mwigulu ana tija gani kwenye hizo wizara alizowahi pita.Hana tofauti na kigwangala na makamba zero results
Makamba tumukumbuke kwenye mifuko ya naironi, alituvusha sarama tofauti naengi walivyo tegemea.
 
Ana majibu ya hovyo sana huyu na sidhani kama ni mbobezi kama anavyojiona.
Kufanya kazi kwa kujikomba na unafiki pia sio weledi hata kdg
Mwigulu sio mbobevu? Hivi mnafatilia mambo au mnasema tu kwasababu ya Tozo[emoji3], Mwigulu sio Mbobevu? First class ya uchumi kapita BOT, Uchumi na fedha ccm, naibu wizara fedha wakati wakatk wa Jk alafu unakuja kusema sio Mbobevu? Khaa acheni kunajisi watu
 
Nadhani tumpe nafasi, na sababu kubwa ktk kipindi akiwa naibu waziri chini ya waziri Mpango tulishuhudia uchumi ukiimarika. Nadhani Mh. Mpango itakuwa rahisi kufanya naye kazi kwa sababu ni bosi wake na ni rahisi pia kwa Dkt Ashatu kufanyia kazi ushauri.
Uchumi gani ulioimarika wakati wa jiwe la mwashi? Mfumuko wa bei za bidhaa na bei kubwa za bidhaa za petrol sio suala la Mwigulu au Samia. Ni global regeneration economic phenomenon ambayo hutokea kila baada ya miaka kadhaa kunakosababishwa na kuyumba iwa global supply chains. Ilitokea hivyo miaka ya 1930s, ilitokea hivyo miaka ya 1970s, so siajabu kutokea sasa.

In the event like these, monetary policy inaishiwa uwezo wake na fiscal policy inakuwa weak ku-respond na pasipo umakini nchi inaingia kwenye total failure. Kwanini? Kwasababu hakuna ajuaye lini sababu za kupanga bei vitu zitakuwa zimekoma, na fiscal policy katika hili kazi yake kubwa ni kupungua/kukata kodi na kupunguza matumizi yake. Shida ni kwamba, so far hakuna matumizi ya kupunguza maana matumizi yote ni kama ya msingi tu (mishahara, miradi ya afya iliyoongezeka, miradi ya elimu bure, miradi ya ujenzi ambayo ni muhimu kwa uchumi). Je ikipunguza kodi then vipi italipia matumizi hayo ya msingi. Tumeshuhudia maeeo mengi kilio cha maisha magumu na hali ya kupanda kwa bidhaa. Watu wataishia kuandamana na kuondoa viongozi wa kisiasa lakini kinachoendelea kinahitaji high level of "fiscal balance" ili kipindi kipite salama.

Kwa sisi wachumi, so far Samia and Mwigulu are doing great job, hususan kwa kuongeza bajeti kwenye sekta zenye watu wengi (Kilimo) na sekta ya maji na umeme ili kufanya watu wajikite zaidi kwenye uzalishaji ikiwemo short to mid. Acheni blablah, uchumi si jambo jepesi.
 
Sasa dr mpango na wizara ya fedha wapi na wapi?
Au unataka wakasaidiane kugawa miche ya miti???
 
Huo ni utatu wa nguvu, (waziri wa fedha former, naibu former, na rais) yaani Dkt Ashatu ni rahisi kumfikishia ushauri Mh. Rais wa mambo ya kifedha na mipango lakini kwa sasa inaonekana Mama anapotoshwa
 
Dah yaani uliposema eti mfumuko ni global umeharibu kabisa, nyie ndiyo wale wahuni mnao mpotosha Mama
 
Mwigulu sio mbobevu? Hivi mnafatilia mambo au mnasema tu kwasababu ya Tozo[emoji3], Mwigulu sio Mbobevu? First class ya uchumi kapita BOT, Uchumi na fedha ccm, naibu wizara fedha wakati wakatk wa Jk alafu unakuja kusema sio Mbobevu? Khaa acheni kunajisi watu
Dkt Ashatu ni mtu sahihi kabisa.
 
Huo ni utatu wa nguvu, (waziri wa fedha former, naibu former, na rais) yaani Dkt Ashatu ni rahisi kumfikishia ushauri Mh. Rais wa mambo ya kifedha na mipango lakini kwa sasa inaonekana Mama anapotoshwa
Sijaona logic hapo.
MaCCM yote ni mababaishaji.
 
Dah yaani uliposema eti mfumuko ni global umeharibu kabisa, nyie ndiyo wale wahuni mnao mpotosha Mama
Tunampotoshaje wakati ndiyo hali halisi. Nyie kutwa kucha mnaangalia filamu za sultan tu hamtakuja kujua hali ya dunia inasemaje. More than 75% ya global economic news kwa sasa ni roaring life distress na surge pricing. Sikuwahi kuwa fans wa Mwigulu lakini so far amefanya kazi ya nzuri na anaendelea kufanya kazi nzuri hadi sasa.
 
Back
Top Bottom