Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Madelu ni mojawapo ya mawaziri wa uchumi dhaifu sana kiuwezo niliowahi kuwashuhudia dunia hii.Kama ni usomi anaweza mzidi Mwigulu kweli?
Ni msomi ndio ila hawezi na hajui kujieleza kwa hiyo hata changamoto kama hizi za Uchumi hajui kuongea.
Nimemuona mara nyingi kwenye mikutano ya Ziara za Rais ameahindwa kutolea maelezo ya mambo ya kupanda Kwa bei za vitu na yeye ndio mhusika kwenye hiyo wizara ya viwanda na Biashara..
Pamoja na Chuki zenu sijamuona Waziri wa Fedha wa kumzidi Mwigulu kwa sasa hata yule Mchaga ndio kabisaa ataishia kupaniki na kujing'ata ulimi bure..
Hizo nafasi nyeti zinahaitaji uwe na uwezo wa kujieleza ambao Mwigulu anao na mara nyingi ametoka kutetea sera zake..
Mwisho uchumi unapimwa Kwa matokeo sio blaa blaa blaa zenu.