Rais Samia mteue Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

GTs,

Nina maoni:

Naona kabisa Mh. Rais akimteua Dkt Ashatu Kijaji kwa nafasi ya waziri wa Fedha na Mipango itakuwa vema kwa uchumi wetu.

Sababu:
1. Dkt Ashatu ni msomi na mbobevu katika masuala ya mipango na fedha.
2. Dkt Ashatu ni muadilifu na mwenye maadili
3. Dkt Ashatu ni mcha Mungu na ana hofu ya Mungu hivyo atamshauri Mama kwa maslahi ya watanzania
4. Dkt Ashatu ana uzoefu wa kuongoza wizara ya Fedha na Mipango na ktk kipindi chake akiwa naibu waziri tulishuhudia uchumi ukiimalika.
5. Dkt Ashatu anauwezo mkubwa sana kiakili siyo tu darasani lakini pia ktk mahusiano na watu.

Naamini huu uzi Mama atausoma au wasaidizi wake wamfikishie. Watanzania tunamtaka Dkt Ashatu!

Ni kwamba ana uwezo au kwakuwa naye anavaa ushungi?
 
Hujui kitu ww, uchawa ushakuharibu, Ashatu na Mwigulu who is smart? Kumbe ww hujui kitu kabisa, ulijua Mh. Rais kumteua Dr. Mwigulu na kumpa Wizara ya Fedha, ulidhania kakosea au hakujua ni mtu smart and brilliant? Ashatu, there is in no way ukamlinganisha na Mwigulu, sbb uchawa umekujaa, hujui kitu
Sijasema Mama alikosea, tunachotaka ni kurekebisha mwenendo wa uchumi, Dkt Ashatu ndiye anayefaa kwa mazingira tuliyonayo. Naamini utaelewa.
 
Acha speculation nina jambo na Dr. Mwigulu
 
Hujui kitu ww, uchawa ushakuharibu, Ashatu na Mwigulu who is smart? Kumbe ww hujui kitu kabisa, ulijua Mh. Rais kumteua Dr. Mwigulu na kumpa Wizara ya Fedha, ulidhania kakosea au hakujua ni mtu smart and brilliant? Ashatu, there is in no way ukamlinganisha na Mwigulu, sbb uchawa umekujaa, hujui kitu
Unajua mwanamke akiwa na akili za ziada kama Dkt Ashatu au Mama Samia huwezi mlinganisha na mwanaume. Rais Samia ana akili nyingi mno maana kutoboa IDM Mzumbe enzi zile haikuwa rahisi hata Mwl Nyerere alishawahi kukiri. Ninachokishauri acha kusifia kitu usichokijua.
 
Sijasema Mama alikosea, tunachotaka ni kurekebisha mwenendo wa uchumi, Dkt Ashatu ndiye anayefaa kwa mazingira tuliyonayo. Naamini utaelewa.
Kama ww chawa wa Ashatu, basi in terms of IQ ww utakuwa the lowest IQ of all the time. Someone with just a little good IQ hawezi kusema huu upuuzi
 
Hapana mi siyo chawa na sijawahi kuwa Chawa kabisa. Tumuunge mkonk Rais Samia ktk kuleta mabadilko nchini.
 
Unajua mwanamke akiwa na akili za ziada kama Dkt Ashatu au Mama Samia huwezi mlinganisha na mwanaume. Rais Samia ana akili nyingi mno maana kutoboa IDM Mzumbe enzi zile haikuwa rahisi hata Mwl Nyerere alishawahi kukiri. Ninachokishauri acha kusifia kitu usichokijua.

Mama Samia yuko so brilliant, can you compare Mh. Rais wetu na Ashatu, Mama Samia yuko vizuri kabisa, very smart, ila sio Ashatu, au ww hujawahi jua kazi za Ashatu, go and search, wala hawezi msogelea kwa utendaji Bi Dorothy Gwajima, au Mhagama au Prof. Ndalichako, hao wote ni mawaziri wanawake, but their IQ iko so good. Sijasema hafai kabisa uwaziri, ila hawezi kabisa, uwaziri, sijui huelewi, that is my observation
 
Hapana unakosea, Mama Samia ana weledi, ni mwenye uwezo mkubwa sana. Dkt Ashatu anafaa kabisa.
Kama unadhani sasa hivi mambo yanaenda mrama amteue huyo Dr Ashatu halafu uone kitakachofuata.

Dah yule ndio anasomaga neno kwa neno anachoandikiwa wizarani. Siku akisema aelezee jambo yeye mwenyewe simple concept za uchumi kudadavua application zake zinamshinda.

Ata kwa mtu mwenye elementary knowledge ya masomo ya biashara na uchumi ukimsikiliza unaona amna kitu pale.

Saada Mkuya aliekuwa na diploma alipoteuliwa na JK kuwa waziri wa fedha leo kwa elimu ya kuunga unga ukimsikiliza ana afadhali ya Dr Ashatu.
 
Shida yetu kubwa zaidi ni Katiba na mifumo ya kitaasisi.
Nadhani tumpe nafasi, na sababu kubwa ktk kipindi akiwa naibu waziri chini ya waziri Mpango tulishuhudia uchumi ukiimarika. Nadhani Mh. Mpango itakuwa rahisi kufanya naye kazi kwa sababu ni bosi wake na ni rahisi pia kwa Dkt Ashatu kufanyia kazi ushauri.
 
Hapana mi siyo chawa na sijawahi kuwa Chawa kabisa. Tumuunge mkonk Rais Samia ktk kuleta mabadilko nchini.
Sasa mabadiliko unayotaka kwa kuweka Waziri wa Fedha awe Ashatu, mabadiliko unajua inataka watu wa uwezo gani? Au unaongea ili mradi umepewa hela huko unapiga piga kelele humu, U can't make reforms au mabadiliko kwa mawazo yako finyu hayo, take that note.
 
Sasa mabadiliko unayataka kwa kuweka Waziri wa Fedha awe Ashatu, mabadiliko unajua inataka watu wa uwezo gani? Au unaongea ili mradi umepewa hela huko unapiga piga kelele humu, U can't make reforms au mabadiliko kwa mawazo yako finyu hayo, take that note.
Jay One mkuu wangu hata huyo Dkt Ashatu hanijui kabisa, kilichonisukuma ni uzalendo wake na uadilifu na uchapa kazi pamoja na uwezo wake wa kuchambua mambo.
 
Hakuna mtu mwenye huo muda wa kufuatilia, wewe ndio utuambie hapa alifanya nini cha maana
Hapana, kwenye u smart Dkt Ashatu ni genius! Ana kipaji cha akili! Fuatilia historia yake enzi anasoma IDM Mzumbe au wakati anasoma
PhD yake nchini Norway.
 
Jay One mkuu wangu hata huyo Dkt Ashatu hanijui kabisa, kilichonisukuma ni uzalendo wake na uadilifu na uchapa kazi pamoja na uwezo wake wa kuchambua mambo.
Ebu tupe mfano ata wa speech yake moja akiongelea maswala ya uchumi.
 
Back
Top Bottom