Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
- Thread starter
- #41
Jay One wewe ndiye hufahamu. Dkt Ashatu ni mwenye akili nyingi na muadilifu. Ukipata wasaa wa kukaa naye hata dakika moja utagundua, she is unique sana. Ana maono na mitizamo chanya ya maendeleo.Hujui kitu ww, uchawa ushakuharibu, Ashatu na Mwigulu who is smart? Kumbe ww hujui kitu kabisa, ulijua Mh. Rais kumteua Dr. Mwigulu na kumpa Wizara ya Fedha, ulidhania kakosea au hakujua ni mtu smart and brilliant? Ashatu is no way ukamlinganisha na Mwigulu, sbb uchawa umekujaa, hujui kitu