Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Sema CPA Makalla anahitaji wasaidizi upande wa hotuba. Anatakiwa kuandaliwa hotubaHuyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani.
Vinginevyo utaaibika mama, usidhani kuwa waliokuzunguka wanakupenda.
Asante.
Huyu mzee hana akili timamuSema CPA Makalla anahitaji wasaidizi upande wa hotuba. Anatakiwa kuandaliwa hotuba
CPA zimejaa kitaani sn wala hakuna uhaba wowoteNa Kwa vile ana CPA ni vyema apelekwe kuwa Mkuu wa Kitengo cha Fedha kwani watu wa aina yake ni "wachache sana".
CCM imeteua watoto wa mjini, hao washamba hawatakiwi. Huoni hao washamba waliondolewa kwenye hiyo nafasi ili watoto wa mjini wapewe nafasi?Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani.
Vinginevyo utaaibika mama, usidhani kuwa waliokuzunguka wanakupenda.
Asante.
Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani.
Vinginevyo utaaibika mama, usidhani kuwa waliokuzunguka wanakupenda.
Asante.
Huyu guluguja ni mpumbavu sana anakesha akinywa akisifiwa kuitwa pedeshee Amos Makalla na akina Nyoshi Saadat basi anajiona kama Rais wa nchi vile .Huyu mzee hana akili timamu
Rushwa imembeba snHuyu guluguja ni mpumbavu sana anakesha akinywa akisifiwa kuitwa pedeshee Amos Makalla na akina Nyoshi Saadat basi anajiona kama Rais wa nchi vile .
Kichwa mviringo akili kisodaSema CPA Makalla anahitaji wasaidizi upande wa hotuba. Anatakiwa kuandaliwa hotuba
Humphrey rum zimemkubali huko shavu dodoHumprey anafaa sana.
Ila jamaa ana vibe sana jukwaanišæ "....wananchiiiiiĆ®iiiiiiiiihiiihiiii!!..."Sema CPA Makalla anahitaji wasaidizi upande wa hotuba. Anatakiwa kuandaliwa hotuba
Aliishakuwa Mweka Hazina wa CCM Taifa enzi za JK. Sasa hivi amepanda cheo.Na Kwa vile ana CPA ni vyema apelekwe kuwa Mkuu wa Kitengo cha Fedha kwani watu wa aina yake ni "wachache sana".
MmmhIla CPA dah! au ndio Chagua Pumbavu Akudhalilishe
Makalla ana CPA? Si bure wasomi wanatakiwa waende VETA.Na Kwa vile ana CPA ni vyema apelekwe kuwa Mkuu wa Kitengo cha Fedha kwani watu wa aina yake ni "wachache sana".