Rais Samia mteue haraka Paul Makonda au Humphrey Polepole kuchukua nafasi ya Amos Makalla

Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani.

Vinginevyo utaaibika mama, usidhani kuwa waliokuzunguka wanakupenda.

Asante.
Awateue hao Ili waanze kutumia hizo nafasi Kuni brand badala ya ku brand chama na Rais? Hana huo ujinga.
 
Mak
Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani.

Vinginevyo utaaibika mama, usidhani kuwa waliokuzunguka wanakupenda.

Asante.
Makonda kichwa cha moto kile hakawii kusimamisha kazi waziri Mkuu ha ha ha
 
Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani.

Vinginevyo utaaibika mama, usidhani kuwa waliokuzunguka wanakupenda.

Asante.
Kwenu Wananzengo Wenzangu. Hivi, haka ka utamaduni kalikozuka Tanzania ka kila mtu kujitambulisha kwa Elimu yake, Mathalan CPA(T) ..., sijui Eng...na hivyo ni ka utaratibu rasmi? Au ni Ushamba? Haka kanaenda sabamba na hawa PhD kujiita Dr.
Mbona wenzetu hawana ushamba huo? Mathalan Mh. Rutto, Rais wa Jamhuri ya Kenya ana PhD ya kusotea, lakini huwezi kumsikia anajitambulisha kama Dr. Rutto.
 
Bashite ni yake yake, afu mzee wa kuchochea kuni mbichi wahuni wachomoke kidogo anaweza kusaidia saidia.
 
Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani.

Vinginevyo utaaibika mama, usidhani kuwa waliokuzunguka wanakupenda.

Asante.
Hivi wahuni aliokuwa anawasema Polepole waliondokaga au bado wako wanakula nchi?!
 
Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani.

Vinginevyo utaaibika mama, usidhani kuwa waliokuzunguka wanakupenda.

Asante.
Unampangia rais kwa mahaba yako, fanya kazi
 
Kwenu Wananzengo Wenzangu. Hivi, haka ka utamaduni kalikozuka Tanzania ka kila mtu kujitambulisha kwa Elimu yake, Mathalan CPA(T) ..., sijui Eng...na hivyo ni ka utaratibu rasmi? Au ni Ushamba? Haka kanaenda sabamba na hawa PhD kujiita Dr.
Mbona wenzetu hawana ushamba huo? Mathalan Mh. Rutto, Rais wa Jamhuri ya Kenya ana PhD ya kusotea, lakini huwezi kumsikia anajitambulisha kama Dr. Rutto.
Wewe una-qualification Gani? Ok. Assume ni ushamba, wewe inakupunguzia Nini?
 
Back
Top Bottom