Rais Samia mteue haraka Paul Makonda au Humphrey Polepole kuchukua nafasi ya Amos Makalla

Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani.

Vinginevyo utaaibika mama, usidhani kuwa waliokuzunguka wanakupenda.

Asante.
Kwakweli huyu Makala waliruka urine wakakanya choo kubwa
 
Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani.

Vinginevyo utaaibika mama, usidhani kuwa waliokuzunguka wanakupenda.

Asante.
Makonda hakustahili hata kuwa balozi wa nyumba kumi. Hakanaga akiki kale ka bwana mdogo ni drama tu ndo zinakabeba vivyo hivyo polepole ni galasa
 
Back
Top Bottom