Rais Samia mteue haraka Paul Makonda au Humphrey Polepole kuchukua nafasi ya Amos Makalla

Sema CPA Makalla anahitaji wasaidizi upande wa hotuba. Anatakiwa kuandaliwa hotuba
Mganga wake prof. Maji marefu toka atoweke CPA Amos Makalla akili yake imeyumba!
Makonda hawawezi kufanya kazi na NCHIMBI na Humphrey Polepole akili yake ni kubwa hawezi endana na hawa mapopoma!
Pengine amateue mwanae Abdul. Kama aliweza kumpa uwaziri mkwewe bila aibu kwanini ashindwe kumpa mwanae?
 
Maji marefu alifariki lini?
 
Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani.

Vinginevyo utaaibika mama, usidhani kuwa waliokuzunguka wanakupenda.

Asante.
Labda wamchukue Kafulila
 
Wote hawafai.
Yule kule ni extreme revolutionary.
Huyu hapa, well,amefukuzwa juzi tu kutoka kule,halafu ni controversial.
 
Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani.

Vinginevyo utaaibika mama, usidhani kuwa waliokuzunguka wanakupenda.

Asante.
Umeona mbali ndugu!!!
 
Na kwa kauli yake hii iliyovuma iliyozua hataruki kwa wananchi, asiachwe hivihivi, Hatua za kinidhani zinamuhusu.
 
CCM imeteua watoto wa mjini, hao washamba hawatakiwi. Huoni hao washamba waliondolewa kwenye hiyo nafasi ili watoto wa mjini wapewe nafasi?
Wasira mtoto wa mjini ? Makala ni wa mji gani?? Wewe bogus kweli
 
Back
Top Bottom