Rais Samia Mteue Prof. Muhongo awe Waziri wa Madini, Dotto Biteko ahamishiwe Wizara ya Ardhi, Mabula apigwe chini

Thibitisha maana mimi nimetoa hoja na michango yake Chanya kwenye gas na madini..

Mimi sio wa.kwanza kumuongelea Prof.Muhongo kwa hiyo chuki zako hazina nafasi.
Umeona wapi Nina chuki na huyo kiazi wewe ... Michango yake ya kitaalamu inajulikana tangu enzi na enzi labda kama wewe umeanza kuisikia hv karbuni , mpak tukaaminishwa jamaa yupo kwenye cabinet ya jukwaa la madini duniani , Kikwete akamwamini akamteua lakini aliishia kumuondoa , Maghufuli ameingia madarakani akampa Wizara lakni naye aliishia kumfukuza , jamaa ni muongeaji Ila sio muwajibikaji ..... Kama alishindwa Kwa Maghufuli mnayemwita alikuwa katili na mkorofi , na bado alishindwa Kwa Kikwete mnayemwita Mungwana na mtu wa watu , hawezi kubalika Kwa utawala wwte ule ,mana Aina ya tawala zote zinaangukia kwenye makundi hayo mawili ambayo tayar alishaprove failure Kwa yote ....Ila ninashawishika kuamini kuwa we ni mchanga Sana kwenye siasa za Tz ...
 
Yaani umtoe Doto Biteko Madini 😏😏. Yaani performance nzuri ktk sekta hii ngumu imtoe na kumpeleka ardhi walikojaa wahuni?? MADINI bado tunahitaji sana na pia ushauri wa muhongo ni mzuri pia. Hoja ya msingi hapa ni utendaji. Tangu Doto alipopewa wizara mambo yamekaa vizuri japo changamoto Huwa haziishi mara moja. Mchango wa sekta ya Madini ktk GDP umepanda kutoka 3.3% Mwaka 2016 Hadi 8% Sasa. Na anakimbizana na 10% ifikapo 2025. Unapendekeza atolewe Ili performance hii itibuke
 
Povu Sana.. asante kwa kushiriki
 
Nice, Kama Mh Biteko unaona Yuko vizuri unaonaje Mr Muhongo akisaidiana naye?

Ufanisi utaongezeka kuwa Bora zaidi? kama tatizo ni Muhongo, bas pendekeza Nan mwenye capacity ya juu zaidi.

Vyeo ni dhamana, Wala tusisite kushauri mabadiliko popote, Tunalipa Kodi, hivyo lazima tuone manufaa ya Kodi zetu. Amen
 
Biteko aende Ardhi kule kunahitaji mtu Konki,pale atasaidiana vizuri na JK Jr kwa sababu ni lawyer ila inahitaji mkubwa awe provocative.
 
Kwenye mada moja kwa moja bila kuchoshana.

Kwako Mh. Rais,naomba kama itakupendeza mtumbue Waziri wa Ardhi Anjelina Mabula na nafasi yake mpeleke Dotto Biteko huku Prof. Sospeter Muhongo achukue nafasi ya Waziri wa Madini.

Dotto atafaa Sana Wizara ya Ardhi Ili kuwanyoosha matapeli wa Wizara ya Ardhi kuliko huyu Anjela wa Sasa maana hakuna anachofanya..

Nasema kwa sababu Wizara ya Madini inahitaji mtu mwenye exposure kama Muhongo,huwa anatoa mchango mzuri Sana Bungeni na anaweza kutuvusha zaidi.

Kama ukifanya hivyo Kwa Bashe na Bashungwa ambao tunaona wanafanya Vizuri basi ni muda Sasa wa kutumia potential za Prof. Muhongo.

Natambua Rais hapangiwi ila sio vibaya kutoa ushauri..Na yule Mzee Naibu wa Madini.sijui anafanya Kazi gani maana hata kiswahili hajui anajua kimasai tuu angefaa kuwa Naibu wa Mifugo na WA mifugo aje Wizara ya Madini..
Uyu mzee Muhongo ni muongo kama jina lake hafai kuwa ata Mbunge
 
Biteko aende Ardhi kule kunahitaji mtu Konki,pale atasaidiana vizuri na JK Jr kwa sababu ni lawyer ila inahitaji mkubwa awe provocative.
Ardhi Bado hayupo wa kumfikia LUKUVI Kwa capacity.

Huyo R.1 yupo hapo kupitishia deal za waovu, nashauri arudi kwenye biashara za mafuta na alipe Kodi.

Muda umebaki mchache vyeo vya kupeana kama zawadi au fadhila hutavisikia ktk Nchi yangu TZ. Amen
 
Kwenye mada moja kwa moja bila kuchoshana.

Kwako Mh. Rais,naomba kama itakupendeza mtumbue Waziri wa Ardhi Anjelina Mabula na nafasi yake mpeleke Dotto Biteko huku Prof. Sospeter Muhongo achukue nafasi ya Waziri wa Madini.

Dotto atafaa Sana Wizara ya Ardhi Ili kuwanyoosha matapeli wa Wizara ya Ardhi kuliko huyu Anjela wa Sasa maana hakuna anachofanya..

Nasema kwa sababu Wizara ya Madini inahitaji mtu mwenye exposure kama Muhongo,huwa anatoa mchango mzuri Sana Bungeni na anaweza kutuvusha zaidi.

Kama ukifanya hivyo Kwa Bashe na Bashungwa ambao tunaona wanafanya Vizuri basi ni muda Sasa wa kutumia potential za Prof. Muhongo.

Natambua Rais hapangiwi ila sio vibaya kutoa ushauri..Na yule Mzee Naibu wa Madini.sijui anafanya Kazi gani maana hata kiswahili hajui anajua kimasai tuu angefaa kuwa Naibu wa Mifugo na WA mifugo aje Wizara ya Madini..
Kwanza mkuu naomba Nikupe a BIG NO kwa Prof. Sospeter Muhongo kuwa waziri wa Madini. Amepewa hiyo nafasi mara mbili, lakini hakuna kitu cha maana alichokifanya so far. Alishindwa hata kukemea mchanga uliokuwa unasafirishwa nje makontena kwa makontena. No, achana naye hata tufikisha kokote. Kwanza kishazeeka na amekuwa mwana siasa sasa.

Kama nchi yetu iliwahi kuwa na Rais juha, basi huyu tuliye naye sasa ndiye Rais juha zaidi. Sijawahi kuona Rais ambaye hata kupanga cabinate yake na watu wenye sifa ameshindwa kama yeye.

Mama Samia hana vision hata moja ya kuwasadia vijana wa nchi hii ili kupata mwelekeo wa maisha yao ya baadae. Hajui afanye nini na madaraka yake ili aweze kuiendeleza nchi kwa kuweka mikakati ambayo itawanufaisha vijana hapo baadae.

Nampenda hayati Magufuli, lakini nina mlaani vikubwa sana hayati Magufuli kwa kutuachia Rais ambaye ni bogus kama huyu. Sielewi kitu gani kilimtuma kumchagua huyu mama kuwa Makam wa Rais.

Nina mlaumu Mama Samia vibaya sana kwa kutuondolea vijana machachari kwenye utendaji wa wizara nyeti kama Ardhi, Nishati, Ujenzi na Habari na kutuletea mazuzu kama huyo mama uliye mtaja na naibu wake Kikwete, Makamba, Prof. Mbalawa na Nape, what the hell is she doing? Anajua kweli anacho kifanya? Au kuna watu wanamsukuma afanye hivyo?

Mawaziri wenye scandle karibu wote ndiyo kawaweka humo ili waendelee kula naye.

Ndugu yangu Rais ambaye anatoa matamshi kwa mawaziri wake akidai "wasiwe wanakula mpaka wana kufuru" unategemea nini kwa Rais wa namna hiyo? Wewe kwa mtazamo wako unategemea huyu Rais atakuvusha?

Huyu mama ni by product ya Kikwete na uhakika anaendeleza yale ambayo Kikwete aliyaacha. Hakuna kingine anacho kifanya.

Cha msingi cha kufanya ili tuondokane na majangili haya ya CCM ni kupiga kampeni ya kufa mtu kuiondoa CCM. CCM lazima kiondoke na kukiua kabisa kama tunataka maendeleo na ajira. Tukibaki kuwa na CCM kwa maana nyingine ni majanaga na udhalimu tu wa mali za umma.

CCM ni clan. Na kila kiongozi wa CCM atakaye kuja, lake ni moja tu, kulinda maslahi ya walaji wa Clan yao. Zingatia hicho! Na nakuomba usiwe na matumaini makubwa na hawa watu.
 
Kwanza mkuu naomba Nikupe a BIG NO kwa Prof. Sospeter Muhongo kuwa waziri wa Madini. Amepewa hiyo nafasi mara mbili, lakini hakuna kitu cha maana alichokifanya so far. Alishindwa hata kukemea mchanga uliokuwa unasafirishwa nje makontena kwa makontena. No, achana naye hata tufikisha kokote. Kwanza kishazeeka na amekuwa mwana siasa sasa.

Kama nchi yetu iliwahi kuwa na Rais juha, basi huyu tuliye naye sasa ndiye Rais juha zaidi. Sijawahi kuona Rais ambaye hata kupanga cabinate yake na watu wenye sifa ameshindwa kama yeye.

Mama Samia hana vision hata moja ya kuwasadia vijana wa nchi hii ili kupata mwelekeo wa maisha yao ya baadae. Hajui afanye nini na madaraka yake ili aweze kuiendeleza nchi kwa kuweka mikakati ambayo itawanufaisha vijana hapo baadae.

Nampenda hayti Magufuli, lakini nina mlaani vikubwa sana hayati Magufuli kwa kutuachia Rais ambaye ni bogus kama huyu. Sielewi kitu gani kilimtuma kumchagua huyu mama kuwa Makam wa Rais.

Nina mlaumu Mama Samia vibaya sana kwa kutuondolea vijana machachari kwenye utendaji wa wizara nyeti kama Ardhi, Nishati, Ujenzi na Habari na kutuletea mazuzu kama huyo mama uliye mtaja na naibu wake Kikwete, Makamba, Prof. Mbalawa na Nape, what the hell is she doing? Anajua kweli anacho kifanya? Au kuna watu wanamsukuma afanye hivyo?

Mawaziri wenye scandle karibu wote ndiyo kawaweka humo ili waendelee kula naye.

Ndugu yangu Rais ambaye anatoa matamshi kwa mawaziri wake akidai "wasiwe wanakula mpaka wana kufuru" unategemea nini kwa Rais wa namna hiyo? Wewe kwa mtazamo wako unategemea huyu Rais atakuvusha?

Huyu mama ni by product ya Kikwete na uhakika anaendeleza yale ambayo Kikwete aliyaacha. Hakuna kingine anacho kifanya.

Cha msingi cha kufanya ili tuondokane na majangili haya ya CCM ni kupiga kampeni ya kufa mtu kuiondoa CCM. CCM ni clan. Na kila kiongozi wa CCM atakaye kuja, lake ni moja tu, kulinda maslahi ya walaji wa Clan yao. Zingatia hicho! Na nakuomba usiwe na matumaini makubwa na hawa watu.
Ndio alileta uchumi wa gas na kuifanya Tanzania kutegemea gas zaidi kwenye umeme..

Ukisema hakuna sijui unamaanisha nini? Angekuwa Waziri mradi huu ungeshaanza 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220608-161348.png
    Screenshot_20220608-161348.png
    214.9 KB · Views: 12
Kwanza mkuu naomba Nikupe a BIG NO kwa Prof. Sospeter Muhongo kuwa waziri wa Madini. Amepewa hiyo nafasi mara mbili, lakini hakuna kitu cha maana alichokifanya so far. Alishindwa hata kukemea mchanga uliokuwa unasafirishwa nje makontena kwa makontena. No, achana naye hata tufikisha kokote. Kwanza kishazeeka na amekuwa mwana siasa sasa.

Kama nchi yetu iliwahi kuwa na Rais juha, basi huyu tuliye naye sasa ndiye Rais juha zaidi. Sijawahi kuona Rais ambaye hata kupanga cabinate yake na watu wenye sifa ameshindwa kama yeye.

Mama Samia hana vision hata moja ya kuwasadia vijana wa nchi hii ili kupata mwelekeo wa maisha yao ya baadae. Hajui afanye nini na madaraka yake ili aweze kuiendeleza nchi kwa kuweka mikakati ambayo itawanufaisha vijana hapo baadae.

Nampenda hayti Magufuli, lakini nina mlaani vikubwa sana hayati Magufuli kwa kutuachia Rais ambaye ni bogus kama huyu. Sielewi kitu gani kilimtuma kumchagua huyu mama kuwa Makam wa Rais.

Nina mlaumu Mama Samia vibaya sana kwa kutuondolea vijana machachari kwenye utendaji wa wizara nyeti kama Ardhi, Nishati, Ujenzi na Habari na kutuletea mazuzu kama huyo mama uliye mtaja na naibu wake Kikwete, Makamba, Prof. Mbalawa na Nape, what the hell is she doing? Anajua kweli anacho kifanya? Au kuna watu wanamsukuma afanye hivyo?

Mawaziri wenye scandle karibu wote ndiyo kawaweka humo ili waendelee kula naye.

Ndugu yangu Rais ambaye anatoa matamshi kwa mawaziri wake akidai "wasiwe wanakula mpaka wana kufuru" unategemea nini kwa Rais wa namna hiyo? Wewe kwa mtazamo wako unategemea huyu Rais atakuvusha?

Huyu mama ni by product ya Kikwete na uhakika anaendeleza yale ambayo Kikwete aliyaacha. Hakuna kingine anacho kifanya.

Cha msingi cha kufanya ili tuondokane na majangili haya ya CCM ni kupiga kampeni ya kufa mtu kuiondoa CCM. CCM ni clan. Na kila kiongozi wa CCM atakaye kuja, lake ni moja tu, kulinda maslahi ya walaji wa Clan yao. Zingatia hicho! Na nakuomba usiwe na matumaini makubwa na hawa watu.
Nguvu zetu zote tuhamishie ktk kupatikana KATIBA mpya.

Bt miaka miwili ni mingi ilobaki tushauri mawaziri VILAZA wabadilishwe tusisubiri sana, fisi watafilisi bucha. Amen
 
Biteko ni waziri active sana na anajua kwenda na hali halisi,muhongo anafaa kuwa lecture sio mtu wa practical mipango ya kwenye makaratasi ambayo haitekelezeki kwa hali halisi ya kitanzania.
 
Back
Top Bottom