Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu sawakwa taarifa yako doto bitteko hafai ktk wizara yoyote, kiutendaji ana uwezo mdogo sana
Usitazame Nchi kiubaguzi ndugu, kama niliemtaja ni kikwazo kwako, pendekeza mwenye capacity zaidi ya KIMEI mle bungeni upendekeze.Wachaga bwana !!!
Kama wapo na hawaleti ufanisi waondoke tu, Nchi hii vyeo au mamlaka yasitolewe kama zawadi.Mimi naona Hawa waliopo waachwe tu. Muhongo anaweza kuombwa ushauri tu. Jambo lingine ni kwamba katika Tume ya Madini Kuna wataalam kibao
Typical ya kwako ni akili ya kitanzania, ujuaji na malalamiko mengi yasiyo na kichwa wala miguu. Kwako wewe kila rais ni juha, kama huyu juha kapewa urais na JPM maana yake huyo alikuwa ni juhuda kipeo cha pili.Kwanza mkuu naomba Nikupe a BIG NO kwa Prof. Sospeter Muhongo kuwa waziri wa Madini. Amepewa hiyo nafasi mara mbili, lakini hakuna kitu cha maana alichokifanya so far. Alishindwa hata kukemea mchanga uliokuwa unasafirishwa nje makontena kwa makontena. No, achana naye hata tufikisha kokote. Kwanza kishazeeka na amekuwa mwana siasa sasa.
Kama nchi yetu iliwahi kuwa na Rais juha, basi huyu tuliye naye sasa ndiye Rais juha zaidi. Sijawahi kuona Rais ambaye hata kupanga cabinate yake na watu wenye sifa ameshindwa kama yeye.
Mama Samia hana vision hata moja ya kuwasadia vijana wa nchi hii ili kupata mwelekeo wa maisha yao ya baadae. Hajui afanye nini na madaraka yake ili aweze kuiendeleza nchi kwa kuweka mikakati ambayo itawanufaisha vijana hapo baadae.
Nampenda hayati Magufuli, lakini nina mlaani vikubwa sana hayati Magufuli kwa kutuachia Rais ambaye ni bogus kama huyu. Sielewi kitu gani kilimtuma kumchagua huyu mama kuwa Makam wa Rais.
Nina mlaumu Mama Samia vibaya sana kwa kutuondolea vijana machachari kwenye utendaji wa wizara nyeti kama Ardhi, Nishati, Ujenzi na Habari na kutuletea mazuzu kama huyo mama uliye mtaja na naibu wake Kikwete, Makamba, Prof. Mbalawa na Nape, what the hell is she doing? Anajua kweli anacho kifanya? Au kuna watu wanamsukuma afanye hivyo?
Mawaziri wenye scandle karibu wote ndiyo kawaweka humo ili waendelee kula naye.
Ndugu yangu Rais ambaye anatoa matamshi kwa mawaziri wake akidai "wasiwe wanakula mpaka wana kufuru" unategemea nini kwa Rais wa namna hiyo? Wewe kwa mtazamo wako unategemea huyu Rais atakuvusha?
Huyu mama ni by product ya Kikwete na uhakika anaendeleza yale ambayo Kikwete aliyaacha. Hakuna kingine anacho kifanya.
Cha msingi cha kufanya ili tuondokane na majangili haya ya CCM ni kupiga kampeni ya kufa mtu kuiondoa CCM. CCM lazima kiondoke na kukiua kabisa kama tunataka maendeleo na ajira. Tukibaki kuwa na CCM kwa maana nyingine ni majanaga na udhalimu tu wa mali za umma.
CCM ni clan. Na kila kiongozi wa CCM atakaye kuja, lake ni moja tu, kulinda maslahi ya walaji wa Clan yao. Zingatia hicho! Na nakuomba usiwe na matumaini makubwa na hawa watu.
Mama hatengui mwanamke sana sana atamuhamisha ama atafanya replacement ya mwanamke. Prof, fella yule anajua sana ila vipi pacha wake na Kurwa tayari mmemchoka au keshasunda zakutosha sasa atolewe pale akapumulie kwingine.Kwenye mada moja kwa moja bila kuchoshana.
Kwako Mh. Rais, naomba kama itakupendeza mtumbue Waziri wa Ardhi Anjelina Mabula na nafasi yake mpeleke Dotto Biteko huku Prof. Sospeter Muhongo achukue nafasi ya Waziri wa Madini.
Dotto atafaa Sana Wizara ya Ardhi Ili kuwanyoosha matapeli wa Wizara ya Ardhi kuliko huyu Anjela wa Sasa maana hakuna anachofanya.
Nasema kwa sababu Wizara ya Madini inahitaji mtu mwenye exposure kama Muhongo,huwa anatoa mchango mzuri Sana Bungeni na anaweza kutuvusha zaidi.
Kama ukifanya hivyo Kwa Bashe na Bashungwa ambao tunaona wanafanya Vizuri basi ni muda Sasa wa kutumia potential za Prof. Muhongo.
Natambua Rais hapangiwi ila sio vibaya kutoa ushauri..Na yule Mzee Naibu wa Madini.sijui anafanya Kazi gani maana hata kiswahili hajui anajua kimasai tuu angefaa kuwa Naibu wa Mifugo na WA mifugo aje Wizara ya Madini..
Unapimaje ufanisi wao mzee au Roho mbaya tuKama wapo na hawaleti ufanisi waondoke tu, Nchi hii vyeo au mamlaka yasitolewe kama zawadi.
Tunatakiwa tupige hatua kimaendeleo. Amen.
Lile crane Bado tu halijafika Kutoka mars?Unapimaje ufanisi wao mzee au Roho mbaya tu
Nchi hii ngumu sana. Hivi unatoa wapi ujasiri wa kimbeza mtu kama Muhongo?Muhongo ni mjinga fulani, anazidiwa ujingaujinga na maprofesa wawili tu, yule Osoro na yule wa kinyesi cha mifugo kwenye mto kule Mara.
Wajinga tuwapige vita serikalini.
Mwigulu sijui amewekwa kwa maslahi ganiLeo nakuunga mkono, inaonekana umeamka vyema Leo.
Pamoja na mabadiliko uliyotaja namuomba Mungu Kwa ajili ya DR KIMEI ateuliwe wizara ya fedha, maana ninaona mwigu anaelekea kuzamisha jahazi akiendelea kuwa hapo. Amen
Jiite ChawaMakambaMbona mnaniita majina mengi Sana mara Makamba mara Muhongo mara chawa sasa mimi naitwa nani hasa?
Umesoma content?Akifa Muhongo nafasi ibaki wazi milele au unamaanisha nn mkuu?
Mwigu pale ni ''NDUMBA'' ndo zimemweka. Viongozi wanapulizwa sana na watafuta madaraka.Mwigulu sijui amewekwa kwa maslahi gani
Huyo muhongo ni mchumia tumbo tu. Anasema kwamba umeme wa maji umepitwa na wakati kwasababu kuna watu wake wamempa rushwa ili bwawa lisimaliziwe wakati china ndio wamejenga bwawa kubwa sana juzi tu hapa.Nchi hii ngumu sana. Hivi unatoa wapi ujasiri wa kimbeza mtu kama Muhongo?
Huyu aliinyosha Tanesco na umeme uliacha kukatika hovyo
Kwani Muhongo hajawahi kuwa waziri?Nice, Kama Mh Biteko unaona Yuko vizuri unaonaje Mr Muhongo akisaidiana naye?
Ufanisi utaongezeka kuwa Bora zaidi? kama tatizo ni Muhongo, bas pendekeza Nan mwenye capacity ya juu zaidi.
Vyeo ni dhamana, Wala tusisite kushauri mabadiliko popote, Tunalipa Kodi, hivyo lazima tuone manufaa ya Kodi zetu. Amen
Biteko aende Ardhi kule kunahitaji mtu Konki,pale atasaidiana vizuri na JK Jr kwa sababu ni lawyer ila inahitaji mkubwa awe provocative.
Rubbish,mhandisi mwandamizi wa nini? Eleza hapa tukuchane