Kwanza mkuu naomba Nikupe a BIG NO kwa Prof. Sospeter Muhongo kuwa waziri wa Madini. Amepewa hiyo nafasi mara mbili, lakini hakuna kitu cha maana alichokifanya so far. Alishindwa hata kukemea mchanga uliokuwa unasafirishwa nje makontena kwa makontena. No, achana naye hata tufikisha kokote. Kwanza kishazeeka na amekuwa mwana siasa sasa.
Kama nchi yetu iliwahi kuwa na Rais juha, basi huyu tuliye naye sasa ndiye Rais juha zaidi. Sijawahi kuona Rais ambaye hata kupanga cabinate yake na watu wenye sifa ameshindwa kama yeye.
Mama Samia hana vision hata moja ya kuwasadia vijana wa nchi hii ili kupata mwelekeo wa maisha yao ya baadae. Hajui afanye nini na madaraka yake ili aweze kuiendeleza nchi kwa kuweka mikakati ambayo itawanufaisha vijana hapo baadae.
Nampenda hayati Magufuli, lakini nina mlaani vikubwa sana hayati Magufuli kwa kutuachia Rais ambaye ni bogus kama huyu. Sielewi kitu gani kilimtuma kumchagua huyu mama kuwa Makam wa Rais.
Nina mlaumu Mama Samia vibaya sana kwa kutuondolea vijana machachari kwenye utendaji wa wizara nyeti kama Ardhi, Nishati, Ujenzi na Habari na kutuletea mazuzu kama huyo mama uliye mtaja na naibu wake Kikwete, Makamba, Prof. Mbalawa na Nape, what the hell is she doing? Anajua kweli anacho kifanya? Au kuna watu wanamsukuma afanye hivyo?
Mawaziri wenye scandle karibu wote ndiyo kawaweka humo ili waendelee kula naye.
Ndugu yangu Rais ambaye anatoa matamshi kwa mawaziri wake akidai "wasiwe wanakula mpaka wana kufuru" unategemea nini kwa Rais wa namna hiyo? Wewe kwa mtazamo wako unategemea huyu Rais atakuvusha?
Huyu mama ni by product ya Kikwete na uhakika anaendeleza yale ambayo Kikwete aliyaacha. Hakuna kingine anacho kifanya.
Cha msingi cha kufanya ili tuondokane na majangili haya ya CCM ni kupiga kampeni ya kufa mtu kuiondoa CCM. CCM lazima kiondoke na kukiua kabisa kama tunataka maendeleo na ajira. Tukibaki kuwa na CCM kwa maana nyingine ni majanaga na udhalimu tu wa mali za umma.
CCM ni clan. Na kila kiongozi wa CCM atakaye kuja, lake ni moja tu, kulinda maslahi ya walaji wa Clan yao. Zingatia hicho! Na nakuomba usiwe na matumaini makubwa na hawa watu.