Rais Samia Mteue Prof. Muhongo awe Waziri wa Madini, Dotto Biteko ahamishiwe Wizara ya Ardhi, Mabula apigwe chini

kwa taarifa yako doto bitteko hafai ktk wizara yoyote, kiutendaji ana uwezo mdogo sana
 
Wachaga bwana !!!
Usitazame Nchi kiubaguzi ndugu, kama niliemtaja ni kikwazo kwako, pendekeza mwenye capacity zaidi ya KIMEI mle bungeni upendekeze.

Twende beyond dini zetu, MAKABILA, RANGI, ukanda nk.

Mwalimu Nyerere wakati tunapata uhuru Nia yake alitaka Africa nzima iwe moja, tuwe na sarafu moja.

Amkeni mliolala, Tujenge Tz moja, Africa moja, Dunia moja ktk HAKI ya Mungu amen.
 
Mimi naona Hawa waliopo waachwe tu. Muhongo anaweza kuombwa ushauri tu. Jambo lingine ni kwamba katika Tume ya Madini Kuna wataalam kibao
Kama wapo na hawaleti ufanisi waondoke tu, Nchi hii vyeo au mamlaka yasitolewe kama zawadi.

Tunatakiwa tupige hatua kimaendeleo. Amen.
 
Typical ya kwako ni akili ya kitanzania, ujuaji na malalamiko mengi yasiyo na kichwa wala miguu. Kwako wewe kila rais ni juha, kama huyu juha kapewa urais na JPM maana yake huyo alikuwa ni juhuda kipeo cha pili.

Nyinyi ndio huwa mnazilaumu awamu za marais bila ya kuutathmini mchango binafsi wa kwenu katika kuibadilisha hali.
 
Mama hatengui mwanamke sana sana atamuhamisha ama atafanya replacement ya mwanamke. Prof, fella yule anajua sana ila vipi pacha wake na Kurwa tayari mmemchoka au keshasunda zakutosha sasa atolewe pale akapumulie kwingine.
 
Mawaziri wengi huwa wanateuliwa ili kukamilisha michongo ya prezdaa mwenyewe au favour flani tu mfano wizara ya nishati inataka mtu uwezo na sio J.Makamba tangu kaingia kila kitu anajipigia pande.Uozo mtupu
 
Kama wapo na hawaleti ufanisi waondoke tu, Nchi hii vyeo au mamlaka yasitolewe kama zawadi.

Tunatakiwa tupige hatua kimaendeleo. Amen.
Unapimaje ufanisi wao mzee au Roho mbaya tu
 
Unapimaje ufanisi wao mzee au Roho mbaya tu
Lile crane Bado tu halijafika Kutoka mars?

Vp kuhusu bil 100, je zimechangia Kwa kiasi Gani kupunguza Bei za mafuta na mfumuko wa Bei? Imepungua sh 50.

Vp kuhusu software ya mabilioni?

Bei inapandaje mafuta yakiwa njiani hayajafika?

Marope asipoondoka mapema atazamisha mtumbwi.
 
Muhongo ni mjinga fulani, anazidiwa ujingaujinga na maprofesa wawili tu, yule Osoro na yule wa kinyesi cha mifugo kwenye mto kule Mara.

Wajinga tuwapige vita serikalini.
Nchi hii ngumu sana. Hivi unatoa wapi ujasiri wa kimbeza mtu kama Muhongo?

Huyu aliinyosha Tanesco na umeme uliacha kukatika hovyo
 
Leo nakuunga mkono, inaonekana umeamka vyema Leo.

Pamoja na mabadiliko uliyotaja namuomba Mungu Kwa ajili ya DR KIMEI ateuliwe wizara ya fedha, maana ninaona mwigu anaelekea kuzamisha jahazi akiendelea kuwa hapo. Amen
Mwigulu sijui amewekwa kwa maslahi gani
 
Akifa Muhongo nafasi ibaki wazi milele au unamaanisha nn mkuu?
 
Mwigulu sijui amewekwa kwa maslahi gani
Mwigu pale ni ''NDUMBA'' ndo zimemweka. Viongozi wanapulizwa sana na watafuta madaraka.

Ndomana sie tunawashauri WAOKOKE. Amen.
 
Nchi hii ngumu sana. Hivi unatoa wapi ujasiri wa kimbeza mtu kama Muhongo?

Huyu aliinyosha Tanesco na umeme uliacha kukatika hovyo
Huyo muhongo ni mchumia tumbo tu. Anasema kwamba umeme wa maji umepitwa na wakati kwasababu kuna watu wake wamempa rushwa ili bwawa lisimaliziwe wakati china ndio wamejenga bwawa kubwa sana juzi tu hapa.
 
Kwani Muhongo hajawahi kuwa waziri?

Nini ilikuwa performance yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…