Rais Samia Mteue Prof. Muhongo awe Waziri wa Madini, Dotto Biteko ahamishiwe Wizara ya Ardhi, Mabula apigwe chini

Ni upuuzi tupu!

Hivi ulishawahi kujiuliza, je siku mhongo akiitwa na Bwana, hatutakuwa na waziri mzuri!

Kwa nini awe mhongo na wakati hiyo wizara amewahi kuwepo na ikamshinda!/

Unaupuuzi mwingi sana we kijana unayetumwa ili upate mkate!

Jiamini, hata wewe unaweza bhana
 
Huyu msukule wa walamba asali atakuelewa sasa
 
Muhongo ni tapeli fulani tu na wala hana issue.
 
Wewe umetumwa? Kumbuka Mhongo aka Muongo ! Aliwahi sema wtz hawawezi kumiliki uchumi wa gesi! Huyo Prof . Hovyo!

Mabula, unataka atoke Kwa sababu ya jinsia yake ? Ili baadaye ujenge hoja ya wanawake hawapendani!
 
Huyu msukule wa walamba asali atakuelewa sasa
Chuki binafsi na wivu ndio vinawasumbua ila prof .Muhongo anaendelea kitema madini..

Ona hapa mchango wake 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220616-210016.png
    106.2 KB · Views: 7
Wewe umetumwa? Kumbuka Mhongo aka Muongo ! Aliwahi sema wtz hawawezi kumiliki uchumi wa gesi! Huyo Prof . Hovyo!

Mabula, unataka atoke Kwa sababu ya jinsia yake ? Ili baadaye ujenge hoja ya wanawake hawapendani!
Mabula hana lolote analolifanya pale Wizara ya Ardhi..

Prof anaendelea kutema madini huku 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220725-205129.png
    90.6 KB · Views: 4
Muhongo ni mjinga fulani, anazidiwa ujingaujinga na maprofesa wawili tu, yule Osoro na yule wa kinyesi cha mifugo kwenye mto kule Mara.

Wajinga tuwapige vita serikalini.
Wamrudishe Lukuvi
 
Biteko ni mtendaji ambaye anachofanya kinaonekana na anajua kwenda na kasi ya kiongozi aliyemteua lakini muhongo thoery nyingi kuliko ku practice yaani maneno mengi utekelezaji hakuna.
 
Mabula hana lolote analolifanya pale Wizara ya Ardhi..

Prof anaendelea kutema madini huku 👇
Najua Kuna chokochoko zinatengenezwa Ili Mabula ATOSWE Ili yule naibu mtoto wa nanii apewe Mamlaka yote.

UOVU wote hautapita Bure bila kulipa adhabu yake.
 
Najua Kuna chokochoko zinatengenezwa Ili Mabula ATOSWE Ili yule naibu mtoto wa nanii apewe Mamlaka yote.

UOVU wote hautapita Bure bila kulipa adhabu yake.
Atapigwa chini tuu ,yule ni Wazuri mzigo..

Bora hata Yule Naibu wa Utali Maryprisca Masanja anapiga Kazi..
 
Atapigwa chini tuu ,yule ni Wazuri mzigo..

Bora hata Yule Naibu wa Utali Maryprisca Masanja anapiga Kazi..
Thread hii umeandika Ukiwa "NJE YA BOX" Unaeleza mawazo kinzani yenye Nia ya kujenga, ingawa haijathibitika Nia Yako Hasa.

Unaonaje nikikuita S.GANG kama ambavyo umekuwa ukiwabatiza wote wenye mawazo kinzani na Utawala?
 
Mabula Chalii
 
Mabula kapigwa chini,njoo ubishe tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…