Rais Samia mtupie jicho la tatu Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Rufaa Mwanza Sekou Toure Dkt. Bahati Msacky

Ana t*ko?
 
Doctor's are very important person
Na akiwa na moyo wa kutoa huduma nzuri lazima apendwe.
 
Wachagga ni wachapa kazi sana. Hatunaga masihara kwenye management!

Povu ruksa!
 
Acha ujinga hakuna hospital ya rufaa kimkoa inayoua kama hii ya mkoa Mwanza, Sekou Toure. Mimi nina ushahidi wa kufiwa kwenye hiyo hospital. Ni bora kama una mgonjwa mpeleke Bugando ila siyo hapo chinja chinja. Hasa akina Mama wanao jifungua wanakufa sana. Huyu siyo kiongozi na hafai kabisa!
 

Aangalie vizuri maana kuna watu wana wivu sana na wenzao wanaojituma katika kazi. Wanataka vyeo kwa kuroga na kupiga fitna.
 
Nchi ina vichwa vingi timamu tatizo machawa ndo wameshika usukani tusahau kupiga hatua
 
Hatumtaki , mchepuko wako unaupigia promo tushajua janja yako😄
 
Ubari
Mosi ubarikiwe sana Kwa picha hizi mkuu.
Pili CV haijashiba ongezea nyama kidooogo katika hayo vya kuzingatia ameolewa?
Pia no yake ya simu Ili tumpongeze na afikiwe Kwa wepesi na mama


Ahsantee sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…