Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana t*ko?Rais Samia Suluhu Hassan kama ulivyowahi kumuamini Dr.ummy Mwalimu kumpa mamlaka ya uwaziri kamili wa afya nakuomba pia umchukue huyu dada Kwa maslahi mapana ya Taifa.Hata kama siyo kumpa uwaziri kamili mpatie unaibu au nafasi ya ukatibu kule wizara ya afya.
Hii ni dhahabu iliyosahaulika.Hapa namuongelea mwanadada Dr.Bahati Msacky mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya mkoa Mwanza, Sekou Toure.
Huyu dada naweza kusema ni mtetezi wa wanyonge wanaofika kupatiwa huduma za afya hapa hospitalini. Kuifanya hospitali ya Sekou Toure kuwa hospitali bora kiutoaji huduma mbele ya hospitali kubwa na kongwe kama Bugando siyo japo jepesi hata kidogo!Siyo jambo jepesi!
Huyu dada yupo committed haswaa!Anaipenda kazi yake haswaa.Wanamwanza walio wengi wanaamini kabisa huyu dada anastahili kuwa katika nafasi za juu kiutendaji ili alinufaishe Taifa.
Wito wangu Kwa madam president chukua hili jembe lipe wizara ndani ya miezi sita utaona matunda yake!
View attachment 3085265View attachment 3085266View attachment 3085267View attachment 3085269View attachment 3085270

Acha ujinga hakuna hospital ya rufaa kimkoa inayoua kama hii ya mkoa Mwanza, Sekou Toure. Mimi nina ushahidi wa kufiwa kwenye hiyo hospital. Ni bora kama una mgonjwa mpeleke Bugando ila siyo hapo chinja chinja. Hasa akina Mama wanao jifungua wanakufa sana. Huyu siyo kiongozi na hafai kabisa!Rais Samia Suluhu Hassan kama ulivyowahi kumuamini Dr.ummy Mwalimu kumpa mamlaka ya uwaziri kamili wa afya nakuomba pia umchukue huyu dada Kwa maslahi mapana ya Taifa.Hata kama siyo kumpa uwaziri kamili mpatie unaibu au nafasi ya ukatibu kule wizara ya afya.
Hii ni dhahabu iliyosahaulika.Hapa namuongelea mwanadada Dr.Bahati Msacky mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya mkoa Mwanza, Sekou Toure.
Huyu dada naweza kusema ni mtetezi wa wanyonge wanaofika kupatiwa huduma za afya hapa hospitalini. Kuifanya hospitali ya Sekou Toure kuwa hospitali bora kiutoaji huduma mbele ya hospitali kubwa na kongwe kama Bugando siyo japo jepesi hata kidogo!Siyo jambo jepesi!
Huyu dada yupo committed haswaa!Anaipenda kazi yake haswaa.Wanamwanza walio wengi wanaamini kabisa huyu dada anastahili kuwa katika nafasi za juu kiutendaji ili alinufaishe Taifa.
Wito wangu Kwa madam president chukua hili jembe lipe wizara ndani ya miezi sita utaona matunda yake!
View attachment 3085265View attachment 3085266View attachment 3085267View attachment 3085269View attachment 3085270
View attachment 3085265View attachment 3085266View attachment 3085267View attachment 3085269View attachment 3085270
Hafai kabisa hajui uongoziWasifu wake?
Je na yenye amesoma kwenye vyuo vyetu ?
Rais Samia Suluhu Hassan kama ulivyowahi kumuamini Dr.ummy Mwalimu kumpa mamlaka ya uwaziri kamili wa afya nakuomba pia umchukue huyu dada Kwa maslahi mapana ya Taifa.Hata kama siyo kumpa uwaziri kamili mpatie unaibu au nafasi ya ukatibu kule wizara ya afya.
Hii ni dhahabu iliyosahaulika.Hapa namuongelea mwanadada Dr.Bahati Msacky mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya mkoa Mwanza, Sekou Toure.
Huyu dada naweza kusema ni mtetezi wa wanyonge wanaofika kupatiwa huduma za afya hapa hospitalini. Kuifanya hospitali ya Sekou Toure kuwa hospitali bora kiutoaji huduma mbele ya hospitali kubwa na kongwe kama Bugando siyo japo jepesi hata kidogo!Siyo jambo jepesi!
Huyu dada yupo committed haswaa!Anaipenda kazi yake haswaa.Wanamwanza walio wengi wanaamini kabisa huyu dada anastahili kuwa katika nafasi za juu kiutendaji ili alinufaishe Taifa.
Wito wangu Kwa madam president chukua hili jembe lipe wizara ndani ya miezi sita utaona matunda yake!
View attachment 3085265View attachment 3085266View attachment 3085267View attachment 3085269View attachment 3085270
View attachment 3085265View attachment 3085266View attachment 3085267View attachment 3085269View attachment 3085270
Kulikoni? Sema wewe sababu gani hafai uongozi?Hafai kabisa hajui uongozi
Nilishaeleza.Kulikoni? Sema wewe sababu gani hafai uongozi?
Kuna watu wanataka kumloga ujue 🤣 🤣 🤣 🤣Anavyoonekana smart na kwenye brain ni hivyo hivyo. Big up mwana dada.
Ni mchaga.Mbona hana tako?
Hatumtaki , mchepuko wako unaupigia promo tushajua janja yako😄Rais Samia Suluhu Hassan kama ulivyowahi kumuamini Dr.ummy Mwalimu kumpa mamlaka ya uwaziri kamili wa afya nakuomba pia umchukue huyu dada Kwa maslahi mapana ya Taifa.Hata kama siyo kumpa uwaziri kamili mpatie unaibu au nafasi ya ukatibu kule wizara ya afya.
Hii ni dhahabu iliyosahaulika.Hapa namuongelea mwanadada Dr.Bahati Msacky mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya mkoa Mwanza, Sekou Toure.
Huyu dada naweza kusema ni mtetezi wa wanyonge wanaofika kupatiwa huduma za afya hapa hospitalini. Kuifanya hospitali ya Sekou Toure kuwa hospitali bora kiutoaji huduma mbele ya hospitali kubwa na kongwe kama Bugando siyo japo jepesi hata kidogo!Siyo jambo jepesi!
Huyu dada yupo committed haswaa!Anaipenda kazi yake haswaa.Wanamwanza walio wengi wanaamini kabisa huyu dada anastahili kuwa katika nafasi za juu kiutendaji ili alinufaishe Taifa.
Wito wangu Kwa madam president chukua hili jembe lipe wizara ndani ya miezi sita utaona matunda yake!
View attachment 3085265View attachment 3085266View attachment 3085267View attachment 3085269View attachment 3085270
View attachment 3085265View attachment 3085266View attachment 3085267View attachment 3085269View attachment 3085270
Mosi ubarikiwe sana Kwa picha hizi mkuu.Rais Samia Suluhu Hassan kama ulivyowahi kumuamini Dr.ummy Mwalimu kumpa mamlaka ya uwaziri kamili wa afya nakuomba pia umchukue huyu dada Kwa maslahi mapana ya Taifa.Hata kama siyo kumpa uwaziri kamili mpatie unaibu au nafasi ya ukatibu kule wizara ya afya.