Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Kwa maneno aliyoyazungumza waziri wa habari Nape Nhauye wakati akiongea na wanaccm huko Bukoba mkoani Kagera ni ishara tosha nchi hii inaongozwa na wahuni. Waziri mzima tena mkuu wa wizara ya habari unaongea ujinga mbele ya watu wazima. Tume ya uchaguzi inapewa pesa nyingi Kila mwaka kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki, Leo Nape anasema atamsaidia rafiki yake kushinda uchaguzi kwa njia za halali, nusu halali au halali.
Ombi langu kwa mh Rais kauli hii inachochea chuki miongoni mwa vyama vya siasa na imezua taharuki miongoni wa wananchi wa vyama vyote vya siasa. Kwa kuwa nchi IPO kwenye maridhiano na muafaka wa kitaifa ni bora Nape Nhauye akaondolewa kwenye Baraza la mawaziri ili kuleta utengano wa kisiasa. 4Rs za mh Rais zitaonekana utapeli ikiwa maneno kama haya yataendelea kutolewa na viongozi wandamizi ndani ya serikali.