NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Kifupi kasema Siri za chama na serikali,ni kweli Dola ndio huamua nani apewe na nani anyimwe Kwa maslahi mapana ya nchi yetu!lakini kiweka wazi hadharani ni dalili za migogoro na sintofaham ndani ya chama na serikali!Huenda pengine labda Mh Waziri ameshapata tetesi za kutumbuliwa na hivyo amekasirika anaongea akiwa ana hasira
Tunatakiwa kuwa makini kidogo kwenye hizi siasa zetu; maslahi binafsi yasiwe yanapelekea tubabwabwaja maneno ambayo yanaweza kusababisha tahariuki ndani ya nchi.
Kuna uwezekano mkubwa safari hii mamlaka za chama zikamhoji