Huenda pengine labda Mh Waziri ameshapata tetesi za kutumbuliwa na hivyo amekasirika anaongea akiwa ana hasira
Tunatakiwa kuwa makini kidogo kwenye hizi siasa zetu; maslahi binafsi yasiwe yanapelekea tubabwabwaja maneno ambayo yanaweza kusababisha tahariuki ndani ya nchi.
Kuna uwezekano mkubwa safari hii mamlaka za chama zikamhoji