Leo naandika kwa hasira.
Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol?
Mtu na Mme wake, wanatufikisha kwenye gharama za kijinga kabisa leo hii..!
Taarifa hii hapa chini kwa uchache:-
Mume wa spika wa Bunge, ndiye Mkurugenzi wa EWURA, mamlaka ya usimamizi wa Nishati.
Kuna kitu hawa jamaa walicheza nacho kwenye tenda ya uagizaji wa petrol/mafuta mwezi wa Machi mwishoni.
Hoja ikapelekwa bungeni na Mbunge mh. Tabsamu, mh spika, akaizima kabla hata haijaelezwa vizuri yote.
(Video)
Leo kwa mara ya kwanza Mimi nashuhudia Dsm mafuta yamepanda kwa Tsh. 440, na watu wanacheka tu.
B.O.T wanasema dola $ zipo. Hawa EWURA wanasema upungufu wa dola $.
Wakati sheria ipo wazi, mafuta ya kutumia leo, yanaaguizwa miezi mitatu iliyopita!!
Hiyo dola $ iliyoadimika leo, inahusikaje na mafuta yaliyotakiwa kuagizwa mwezi April/May 2023.??!
Waliotunga hii sheria hawakuwa wajinga.
Huwezi kucheza na bidhaa ambayo inaumiza nchi nzima.
Huu ni uwendawazimu!
Mh Rais, kama huwezi kumuondoa huyu ofisini, basi omba hata JWTZ wakusaidie.
Hii ni security products, hata TISS, walitakiwa kujua huyu anatakiwa apishe ofisi, kwa njia zozote zile!
Kwanza kuna conflict of interest kati yake na mkewe na waziri, huo utatu, leo nchi nzima tumeingia gharama.
Tuibe lakini tutumie akili kidogo.