- Thread starter
- #141
Na Mwigulu mchumi first class, Dola $ inazidi kupaa.Mimi nimsaidie Bi Tozo kujinasua, kwa sababu zipi hasa?
Sioni chochote katika uongozi wake kwa nchi hii kinachoweza kunisukuma nimsaidie huyu kiongozi, kwa maana amejipambanua wazi kabisa kuwa hana uchungu wowote na maslahi mpana ya nchi hii na wananchi wake..
Kwenye tozo alisema tuhamie Burundi.