- Thread starter
- #121
Tunafanyaje sasa, tunatokaje hapaHIVI UNADHANI HAJUI..? ANAJUA VIZURI TU...ILA NI HIVYO NI PICHA TU HATA HAITISHI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunafanyaje sasa, tunatokaje hapaHIVI UNADHANI HAJUI..? ANAJUA VIZURI TU...ILA NI HIVYO NI PICHA TU HATA HAITISHI.
Na hawa ndio wanaotuangusha siku zotePolisi kwenye uchaguzi ujao,wawaambie chama tawala kuwa wao hawajihusishi na siasa.Ngoma ibaki kwao na upinzani,tuone itakuaje.
Wanazidi kufunguka taratibu,siunaona hata suala la kikokotoo kilivyowashtua...?Na hawa ndio wanaotuangusha siku zote
Ni haki yako kuamini hivyo mkuu. Mimi sikubaliani na wazo hilo kamwe.kinachomuharibia Rais kuna baadhi ya viongozi hawezi kuwagusa ni kwa sababu baba zao wanaumaarufu au wana nguvu kwa hiyo hata wakikosea ataongea nao pembeni kwa upole lakini hawatamsikiliza kwa kujua hata wafanya kitu, hapo Rais samia uongozi wake unavyoporomoka siku hadi siku mpaka inaonekana hafai kuongoza
Huyu si shemeji kwa kipaza sauti pale IdodomiaLeo naandika kwa hasira.
Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol?
Mtu na Mme wake, wanatufikisha kwenye gharama za kijinga kabisa leo hii..!
Taarifa hii hapa chini kwa uchache:-
Mume wa spika wa Bunge, ndiye Mkurugenzi wa EWURA, mamlaka ya usimamizi wa Nishati.
View attachment 2707561
Kuna kitu hawa jamaa walicheza nacho kwenye tenda ya uagizaji wa petrol/mafuta mwezi wa Machi mwishoni.
Hoja ikapelekwa bungeni na Mbunge mh. Tabsamu, mh spika, akaizima kabla hata haijaelezwa vizuri yote.
(Video)
View attachment 2707562
Leo kwa mara ya kwanza Mimi nashuhudia Dsm mafuta yamepanda kwa Tsh. 440, na watu wanacheka tu.
B.O.T wanasema dola $ zipo. Hawa EWURA wanasema upungufu wa dola $.
Wakati sheria ipo wazi, mafuta ya kutumia leo, yanaaguizwa miezi mitatu iliyopita!!
Hiyo dola $ iliyoadimika leo, inahusikaje na mafuta yaliyotakiwa kuagizwa mwezi April/May 2023.??!
Waliotunga hii sheria hawakuwa wajinga.
Huwezi kucheza na bidhaa ambayo inaumiza nchi nzima.
Huu ni uwendawazimu!
Mh Rais, kama huwezi kumuondoa huyu ofisini, basi omba hata JWTZ wakusaidie.
Hii ni security products, hata TISS, walitakiwa kujua huyu anatakiwa apishe ofisi, kwa njia zozote zile!
Kwanza kuna conflict of interest kati yake na mkewe na waziri, huo utatu, leo nchi nzima tumeingia gharama.
Tuibe lakini tutumie akili kidogo.
Huu ni uwendawazimu!
Ndio huyo huyoHuyu si shemeji kwa kipaza sauti pale Idodomia
Get to know this, Samia kama Samia anapangiwa ya kufanya. Ila Rais Samia hapangiwi .Ni haki yako kuamini hivyo mkuu. Mimi sikubaliani na wazo hilo kamwe.
Makamba hana umaarufu wowote, na hata baba yake hana 'influence' popote, achia huko kwenye chama chenyewe, kiasi kwamba rais wa nchi ashindwe kufanya jambo analotaka kufanya kwa kuwagwaya hawa watu.
Hii fikra sijui mnaiokota wapi?
Mi nadhani ni namna yenu ya kummwondolea lawama mhusika mwenyewe, ambaye ni Samia, kwa sababu mnazozijua wenyewe.
Hilo neno kubwa sanaMtu na mkewe wote wana uwezo mdogo wakufikiri na nashangangaa wamepewa madaraka makubwa? Sasa je kama hawa ndio viongozi wanaoongoza wananchi ikiwa uwezo wao ndio huu je wananchi wenyewe uwezo wao ukoje??
"Mzungu"
Ukiwa na uwezo mkubwa na akili na kuongoza nchi kwa maslahi ya umma, hufiki kule juu..Mtu na mkewe wote wana uwezo mdogo wakufikiri na nashangangaa wamepewa madaraka makubwa? Sasa je kama hawa ndio viongozi wanaoongoza wananchi ikiwa uwezo wao ndio huu je wananchi wenyewe uwezo wao ukoje??
"Mzungu"
Dah!Get to know this, Samia kama Samia anapangiwa ya kufanya. Ila Rais Samia hapangiwi .
Labda utaelewa hapo.
Parallel government.Dah!
Hii fasihi, tunaweza kutumia muda kuidadavua uhalisia wake ulivyo; lakini hilo haliniondoi kwenya nadharia ya msingi mkuu 'CWR'.
Labda niseme tu kifupi kwamba kinachoweza kumtisha Samia juu ya Makamba ni vikundi anavyomiliki Makamba ambavyo ni vya kihalifu, hasa nyakati za chaguzi. Hiyo inaweza kuwa sababu ya kumgwaya January. Timu za akina Maharage na wengineo.
Nchi wahuni wengi, wakisikia bei ya mafuta inapanda basi siku hiyo wiki nzima mafuta yanapatikana kwa tabu.Ewura wa kitangaza bei mpya saa sita siku ya siku inayo fuata mafuta ya naanza kupatika kwa wingi sana.Leo naandika kwa hasira.
Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol?
Mtu na Mme wake, wanatufikisha kwenye gharama za kijinga kabisa leo hii..!
Taarifa hii hapa chini kwa uchache:-
Mume wa spika wa Bunge, ndiye Mkurugenzi wa EWURA, mamlaka ya usimamizi wa Nishati.
View attachment 2707561
Kuna kitu hawa jamaa walicheza nacho kwenye tenda ya uagizaji wa petrol/mafuta mwezi wa Machi mwishoni.
Hoja ikapelekwa bungeni na Mbunge mh. Tabsamu, mh spika, akaizima kabla hata haijaelezwa vizuri yote.
(Video)
View attachment 2707562
Leo kwa mara ya kwanza Mimi nashuhudia Dsm mafuta yamepanda kwa Tsh. 440, na watu wanacheka tu.
B.O.T wanasema dola $ zipo. Hawa EWURA wanasema upungufu wa dola $.
Wakati sheria ipo wazi, mafuta ya kutumia leo, yanaaguizwa miezi mitatu iliyopita!!
Hiyo dola $ iliyoadimika leo, inahusikaje na mafuta yaliyotakiwa kuagizwa mwezi April/May 2023.??!
Waliotunga hii sheria hawakuwa wajinga.
Huwezi kucheza na bidhaa ambayo inaumiza nchi nzima.
Huu ni uwendawazimu!
Mh Rais, kama huwezi kumuondoa huyu ofisini, basi omba hata JWTZ wakusaidie.
Hii ni security products, hata TISS, walitakiwa kujua huyu anatakiwa apishe ofisi, kwa njia zozote zile!
Kwanza kuna conflict of interest kati yake na mkewe na waziri, huo utatu, leo nchi nzima tumeingia gharama.
Tuibe lakini tutumie akili kidogo.
Huu ni uwendawazimu!
Kwa hiyo tuseme Samia karuhusu hili, ili iweje?Parallel government.
Ndio iliyopo Tz.
Kazi ni kujinasua.Kwa hiyo tuseme Samia karuhusu hili, ili iweje?
Hiyo 'serikali ya pembeni' ikiharibu, akubali kubeba makosa yote?
Si angetumia mwanya huo sasa kujinanua na hiyo serikali nyingine inayokwenda sambamba na hii ya kwake?
Huo ndio udhaifu wa uongozi wenyewe. Maana yake ni kwamba huyu siyo kiongozi, ni pambo tu lililowekwa hapo na kutumiwa na wengine.Kazi ni kujinasua.
Huenda mwanzo aliona itamsaidia.
Lakini yanapoanza kuharibika, hata yeye anawaza sana.
Anatamani kujinasua.Huo ndio udhaifu wa uongozi wenyewe. Maana yake ni kwamba huyu siyo kiongozi, ni pambo tu lililowekwa hapo na kutumiwa na wengine.
Mimi nimsaidie Bi Tozo kujinasua, kwa sababu zipi hasa?Anatamani kujinasua.
Mfano wewe unamsaidiaje?!
Je, aanze moja? Kwa muda huu ataweza?!
Si atajiongezea maadui na wapinzani?!