Ingekuwa Kenya tayari kimenukaHaya mambo haya... hapa kikubwa dua...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa Kenya tayari kimenukaHaya mambo haya... hapa kikubwa dua...
Lililoshangaza wengi ni kiburi na jeuri cha wadau wa mafuta kuficha mafuta na wasifanywe lolote, na ni nani aliwatip kuwa bei zitapanda kwa kiasi hicho? Hapa inaonyesha kuna hujuma ya ndani.vile vile kwa Mwandishi, wakala wa uagizaji mafuta ni taasisi nyingine sio Ewura, wao ni wadhibiti, na watoa leseni tu.Leo naandika kwa hasira.
Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol?
Mtu na Mme wake, wanatufikisha kwenye gharama za kijinga kabisa leo hii..!
Taarifa hii hapa chini kwa uchache:-
Mume wa spika wa Bunge, ndiye Mkurugenzi wa EWURA, mamlaka ya usimamizi wa Nishati.
View attachment 2707561
Kuna kitu hawa jamaa walicheza nacho kwenye tenda ya uagizaji wa petrol/mafuta mwezi wa Machi mwishoni.
Hoja ikapelekwa bungeni na Mbunge mh. Tabsamu, mh spika, akaizima kabla hata haijaelezwa vizuri yote.
(Video)
View attachment 2707562
Leo kwa mara ya kwanza Mimi nashuhudia Dsm mafuta yamepanda kwa Tsh. 440, na watu wanacheka tu.
B.O.T wanasema dola $ zipo. Hawa EWURA wanasema upungufu wa dola $.
Wakati sheria ipo wazi, mafuta ya kutumia leo, yanaaguizwa miezi mitatu iliyopita!!
Hiyo dola $ iliyoadimika leo, inahusikaje na mafuta yaliyotakiwa kuagizwa mwezi April/May 2023.??!
Waliotunga hii sheria hawakuwa wajinga.
Huwezi kucheza na bidhaa ambayo inaumiza nchi nzima.
Huu ni uwendawazimu!
Mh Rais, kama huwezi kumuondoa huyu ofisini, basi omba hata JWTZ wakusaidie.
Hii ni security products, hata TISS, walitakiwa kujua huyu anatakiwa apishe ofisi, kwa njia zozote zile!
Kwanza kuna conflict of interest kati yake na mkewe na waziri, huo utatu, leo nchi nzima tumeingia gharama.
Tuibe lakini tutumie akili kidogo.
Huu ni uwendawazimu!
Yani haya majamaa, majibunge, miwaziri imekaa kimya kama hakuna kilichotokea.rubbishTumefika pabaya sana, watu hawajali kabisa
Ilibidi Jambo Hilo likiletwa Mezani , Mwenyekiti wa Kikao anakuwa MTU Mwingine. Lakini pia kuna tatizo la hicho kimemo au taarifa kuwa kimemfikia muhusika kabla ya KikaoLeo naandika kwa hasira.
Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol?
Mtu na Mme wake, wanatufikisha kwenye gharama za kijinga kabisa leo hii..!
Taarifa hii hapa chini kwa uchache:-
Mume wa spika wa Bunge, ndiye Mkurugenzi wa EWURA, mamlaka ya usimamizi wa Nishati.
View attachment 2707561
Kuna kitu hawa jamaa walicheza nacho kwenye tenda ya uagizaji wa petrol/mafuta mwezi wa Machi mwishoni.
Hoja ikapelekwa bungeni na Mbunge mh. Tabsamu, mh spika, akaizima kabla hata haijaelezwa vizuri yote.
(Video)
View attachment 2707562
Leo kwa mara ya kwanza Mimi nashuhudia Dsm mafuta yamepanda kwa Tsh. 440, na watu wanacheka tu.
B.O.T wanasema dola $ zipo. Hawa EWURA wanasema upungufu wa dola $.
Wakati sheria ipo wazi, mafuta ya kutumia leo, yanaaguizwa miezi mitatu iliyopita!!
Hiyo dola $ iliyoadimika leo, inahusikaje na mafuta yaliyotakiwa kuagizwa mwezi April/May 2023.??!
Waliotunga hii sheria hawakuwa wajinga.
Huwezi kucheza na bidhaa ambayo inaumiza nchi nzima.
Huu ni uwendawazimu!
Mh Rais, kama huwezi kumuondoa huyu ofisini, basi omba hata JWTZ wakusaidie.
Hii ni security products, hata TISS, walitakiwa kujua huyu anatakiwa apishe ofisi, kwa njia zozote zile!
Kwanza kuna conflict of interest kati yake na mkewe na waziri, huo utatu, leo nchi nzima tumeingia gharama.
Tuibe lakini tutumie akili kidogo.
Huu ni uwendawazimu!
Bei bado himilivu. Mwezi wa 9 tutaipandisha kwa Tsh 900 kwa lita, ili lita moja kwa hapa DSM iwe Tsh 4,099. Ambaye ataona bei ni kubwa ahamie Burundi.Bei mwaka 2021 February
View attachment 2707592
Bei mwaka 2023 August
View attachment 2707593
Hatari sana hii!
Tumlaumu Nani sasa kuwa Muwazi, Waziri WA Tozo Kwa Kiasi Gani, Waziri WA Dollar Naye Kwa Kiasi Gani, na Kwanza kwanini kuna tatizo la Dollar , au ndio hivyo washauri wetu ni Zembwela. Haya na huyo Pura ndiye aliyechezea Tenda, wasimamizi wake ni Nani Mrisho Mpoto au Mgema SafiaEWURA hawahusiki na maswala ya tender za bulk procurement, hayo ni mamlaka ya PURA.
Issue ya kukosekana kwa dollar sio mpya labda limekuja public hivi sasa, waagizaji wa mafuta wana miezi kadhaa wanapata changamoto ya kupewa dollar wanazohitaji na kwa wakati sahihi kuagiza.
Bei mpya sio kukosekana kwa dollar tu, kuna tozo mpya pia bunge limepitisha kwenye budget iliyoisha ndio zimeingizwa kwa mara ya kwanza na bei ya mafuta imepanda katika soko la dunia japo kidogo sana.
Tatizo lilipo kwa sasa katika nchi lipo wazi tusisingizie watu wengine.
Cc: August , usimskilize huyo #Mayor Qimby, hajui kitu. Hilo ni la EWURA. Hiyo PURA yako inahusika na uwekezaji na utafutaji wa maliasili1. Katafute wanaounda hiyo Petroleum Bulk Procurement kama utamkosa EWURA.
2. Spika angeacha hoja ya Mbunge ifike mwisho kwa maslahi ya umma na Taifa.
3. Hiyo Tozo ya Bunge ni sh 100 tu, kubwa ni hiyo ujinga wao.
Yawezekana, nchi hii acha tu!Mimi na mke wangu tunashindana tuone Nani kaingiza pesa nyingi.
Nikimuona mke wangu amehongwa milioni 2.5 namhakikishia namimi napiga 400x500,000,000 mpaka calculator isome error ndio labda mwanamke ataacha kuhongwa.
Ndio nimekurupuka toka usingizini hivi topik Ni nini?
Cc; August , hili ni la EWURA full stop. Usimskilize huyo Mayor Quimby , anabisha hajui kitu .Uache ubishi.
Uwe unapitia madesa ya hizi mamlaka ndio unakuja kubisha.
Wengine tunaandika kwa faida ya Taifa tu.
EWURA ndio msimamizi wa juu wa hiyo Agency ya kuagiza mafuta.
Sheria ninayo.
Ila kwa ufupi, pitia hizi
View attachment 2707648
Hapa chini tena..
View attachment 2707649
Mpaka hapo unaelewa nani anamsimamia mwingine.
NB: Ni PBRA, sio PURA kama ulivyoandika wewe.
Cc: August
Soma sheria basi nilizokupa.PURA ni agency wa kuagiza mafuta
EWURA anatajwa kama regulator (authority) jukumu lake ni kuhakiki kiwango cha mafuta yanayoagizwa na kutumiwa Tanzania. Lakini aihusiki na mchakato wa kuagiza mafuta.
Mafuta yana viwango tofauti, PURA wanahikikisha yanayouzwa Tanzania ni kwa viwango walivyoweka ndio maana huwa ata wanaweza vituo vya mafuta na kupima.
Wakazi wa Iyunga Mbeya mjini wanaunganishiwa umeme wa Tanesco kwa sh.27,000/= tu, hii ni kwa mujibu wa mbunge wa Mbeya mjini dr. Tulia akiwaambia wananchi wake.Leo naandika kwa hasira.
Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol?
Mtu na Mme wake, wanatufikisha kwenye gharama za kijinga kabisa leo hii..!
Taarifa hii hapa chini kwa uchache:-
Mume wa spika wa Bunge, ndiye Mkurugenzi wa EWURA, mamlaka ya usimamizi wa Nishati.
View attachment 2707561
Kuna kitu hawa jamaa walicheza nacho kwenye tenda ya uagizaji wa petrol/mafuta mwezi wa Machi mwishoni.
Hoja ikapelekwa bungeni na Mbunge mh. Tabsamu, mh spika, akaizima kabla hata haijaelezwa vizuri yote.
(Video)
View attachment 2707562
Leo kwa mara ya kwanza Mimi nashuhudia Dsm mafuta yamepanda kwa Tsh. 440, na watu wanacheka tu.
B.O.T wanasema dola $ zipo. Hawa EWURA wanasema upungufu wa dola $.
Wakati sheria ipo wazi, mafuta ya kutumia leo, yanaaguizwa miezi mitatu iliyopita!!
Hiyo dola $ iliyoadimika leo, inahusikaje na mafuta yaliyotakiwa kuagizwa mwezi April/May 2023.??!
Waliotunga hii sheria hawakuwa wajinga.
Huwezi kucheza na bidhaa ambayo inaumiza nchi nzima.
Huu ni uwendawazimu!
Mh Rais, kama huwezi kumuondoa huyu ofisini, basi omba hata JWTZ wakusaidie.
Hii ni security products, hata TISS, walitakiwa kujua huyu anatakiwa apishe ofisi, kwa njia zozote zile!
Kwanza kuna conflict of interest kati yake na mkewe na waziri, huo utatu, leo nchi nzima tumeingia gharama.
Tuibe lakini tutumie akili kidogo.
Huu ni uwendawazimu!
Naive, kutotumia busara au kupotoshwa.Hata sielewi kwa nini uliyaweka haya maneno kwenye mada yako.
Unaonyesha uko 'naive' sana (sijui neno zuri la kiswahili linaloendana na hili neno la kigeni, mwenye kujua asaidie).
Rais wa nchi awe hajui jambo nyeti kama hili linatokea nchini mwake?
WaTanzania hapa ndipo huwa nashindwa kuwaelewa kabisa.
Hahaha hiyo dua nimekusomaHaya mambo haya... hapa kikubwa dua...
Conflict of interest !!? Utatu !!? Zengwe ?! Mafuta ni suala nyeti linagusa kila kada maana watu wataanza kupandisha bei za bidhaa muhimu ! Then lawama zitapelekwa kwa nani?! Kila mtu anajua .Leo naandika kwa hasira.
Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol?
Mtu na Mme wake, wanatufikisha kwenye gharama za kijinga kabisa leo hii..!
Taarifa hii hapa chini kwa uchache:-
Mume wa spika wa Bunge, ndiye Mkurugenzi wa EWURA, mamlaka ya usimamizi wa Nishati.
View attachment 2707561
Kuna kitu hawa jamaa walicheza nacho kwenye tenda ya uagizaji wa petrol/mafuta mwezi wa Machi mwishoni.
Hoja ikapelekwa bungeni na Mbunge mh. Tabsamu, mh spika, akaizima kabla hata haijaelezwa vizuri yote.
(Video)
View attachment 2707562
Leo kwa mara ya kwanza Mimi nashuhudia Dsm mafuta yamepanda kwa Tsh. 440, na watu wanacheka tu.
B.O.T wanasema dola $ zipo. Hawa EWURA wanasema upungufu wa dola $.
Wakati sheria ipo wazi, mafuta ya kutumia leo, yanaaguizwa miezi mitatu iliyopita!!
Hiyo dola $ iliyoadimika leo, inahusikaje na mafuta yaliyotakiwa kuagizwa mwezi April/May 2023.??!
Waliotunga hii sheria hawakuwa wajinga.
Huwezi kucheza na bidhaa ambayo inaumiza nchi nzima.
Huu ni uwendawazimu!
Mh Rais, kama huwezi kumuondoa huyu ofisini, basi omba hata JWTZ wakusaidie.
Hii ni security products, hata TISS, walitakiwa kujua huyu anatakiwa apishe ofisi, kwa njia zozote zile!
Kwanza kuna conflict of interest kati yake na mkewe na waziri, huo utatu, leo nchi nzima tumeingia gharama.
Tuibe lakini tutumie akili kidogo.
Huu ni uwendawazimu!
CCM mbele kwa mbele yaan bora liende, duu!Leo naandika kwa hasira.