Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
AaahaaaaaSasa huyo unayemwambia amtoe boss wa EWURA mbona nayeye kazi imemshinda? Kwanza yuko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AaahaaaaaSasa huyo unayemwambia amtoe boss wa EWURA mbona nayeye kazi imemshinda? Kwanza yuko wapi?
Tumefika pabaya sana, watu hawajali kabisa
hawajali kabisa......And this is the reality !!!
Hii nchi imejaa aibu na ujinga mwingi sana.
Tuendelee kumuomba Mungu. Kila jambo lina majira na sababu zake
Yaani akili zetu visoda sana. Na ndio zimejaa kila mahali. Inakuwaje walanguzi wako ofcn?Hata sielewi kwa nini uliyaweka haya maneno kwenye mada yako.
Unaonyesha uko 'naive' sana (sijui neno zuri la kiswahili linaloendana na hili neno la kigeni, mwenye kujua asaidie).
Rais wa nchi awe hajui jambo nyeti kama hili linatokea nchini mwake?
WaTanzania hapa ndipo huwa nashindwa kuwaelewa kabisa.
JWTZ na TISS Wetu hawahusiki na mambo ya uchumi.Leo naandika kwa hasira.
Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol?
Mtu na Mme wake, wanatufikisha kwenye gharama za kijinga kabisa leo hii..!
Taarifa hii hapa chini kwa uchache:-
Mume wa spika wa Bunge, ndiye Mkurugenzi wa EWURA, mamlaka ya usimamizi wa Nishati.
View attachment 2707561
Kuna kitu hawa jamaa walicheza nacho kwenye tenda ya uagizaji wa petrol/mafuta mwezi wa Machi mwishoni.
Hoja ikapelekwa bungeni na Mbunge mh. Tabsamu, mh spika, akaizima kabla hata haijaelezwa vizuri yote.
(Video)
View attachment 2707562
Leo kwa mara ya kwanza Mimi nashuhudia Dsm mafuta yamepanda kwa Tsh. 440, na watu wanacheka tu.
B.O.T wanasema dola $ zipo. Hawa EWURA wanasema upungufu wa dola $.
Wakati sheria ipo wazi, mafuta ya kutumia leo, yanaaguizwa miezi mitatu iliyopita!!
Hiyo dola $ iliyoadimika leo, inahusikaje na mafuta yaliyotakiwa kuagizwa mwezi April/May 2023.??!
Waliotunga hii sheria hawakuwa wajinga.
Huwezi kucheza na bidhaa ambayo inaumiza nchi nzima.
Huu ni uwendawazimu!
Mh Rais, kama huwezi kumuondoa huyu ofisini, basi omba hata JWTZ wakusaidie.
Hii ni security products, hata TISS, walitakiwa kujua huyu anatakiwa apishe ofisi, kwa njia zozote zile!
Kwanza kuna conflict of interest kati yake na mkewe na waziri, huo utatu, leo nchi nzima tumeingia gharama.
Tuibe lakini tutumie akili kidogo.
Huu ni uwendawazimu!
Ni was tunaibiwa Sana na batina kashajifunza wizi na amependa madarak hvyo wanataka arud ofcn 2026 bungeni Kam spika kwa vuovyote vile pesa zinakuzanywa sanaLeo naandika kwa hasira.
Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol?
Mtu na Mme wake, wanatufikisha kwenye gharama za kijinga kabisa leo hii..!
Taarifa hii hapa chini kwa uchache:-
Mume wa spika wa Bunge, ndiye Mkurugenzi wa EWURA, mamlaka ya usimamizi wa Nishati.
View attachment 2707561
Kuna kitu hawa jamaa walicheza nacho kwenye tenda ya uagizaji wa petrol/mafuta mwezi wa Machi mwishoni.
Hoja ikapelekwa bungeni na Mbunge mh. Tabsamu, mh spika, akaizima kabla hata haijaelezwa vizuri yote.
(Video)
View attachment 2707562
Leo kwa mara ya kwanza Mimi nashuhudia Dsm mafuta yamepanda kwa Tsh. 440, na watu wanacheka tu.
B.O.T wanasema dola $ zipo. Hawa EWURA wanasema upungufu wa dola $.
Wakati sheria ipo wazi, mafuta ya kutumia leo, yanaaguizwa miezi mitatu iliyopita!!
Hiyo dola $ iliyoadimika leo, inahusikaje na mafuta yaliyotakiwa kuagizwa mwezi April/May 2023.??!
Waliotunga hii sheria hawakuwa wajinga.
Huwezi kucheza na bidhaa ambayo inaumiza nchi nzima.
Huu ni uwendawazimu!
Mh Rais, kama huwezi kumuondoa huyu ofisini, basi omba hata JWTZ wakusaidie.
Hii ni security products, hata TISS, walitakiwa kujua huyu anatakiwa apishe ofisi, kwa njia zozote zile!
Kwanza kuna conflict of interest kati yake na mkewe na waziri, huo utatu, leo nchi nzima tumeingia gharama.
Tuibe lakini tutumie akili kidogo.
Huu ni uwendawazimu!
Hii nadhani baadhi ya mifumo ama baadhi ya watu nchi hii wakiona una uwezo wa kujakukisaidia Taifa bila kujali wa aliyenacho na asiyenacho unatengenezewa "blackmailing scheme".Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol?
Aliniudhi mno jins alivyo fanya kaza za mwanasheria mkuu mpuuz Sana betinaEEEeeenHEEEeeeee!
Mambo haya siyo ya kicheko; lakini wakati mwingine kucheka kwa maumivu inalazimu.
Na Makamba anasemaje? Hujafika huko mkuu 'CRW'!
Sijui CCM safari hii itatumia uchawi gani kujinasua na yote haya? Hao polisi na tume za uchaguzi, kweli watayamudu yote haya?
LOoooh! Hebu ngoja. Huyu Bwana Spika Mume kwani aliteuliwa kushika nafasi hiyo lini?
Isije ikawa ni wakati wa kuweka saini kwenye IGA ya DP World?
Mambo haya wenyewe huyapanga kwa taratibu wazijuazo wao, ati!
Walijua IGA itapelekwa Bungeni ikapate mhuri wa huko, kwa hiyo wakalainisha mambo kungali mapema.
Si ulishuhudia jinsi Spika alivyocheza kama Pele ndani ya Bunge lile na kufunga magoli kedekede kuhusu uridhiaji wa IGA hiyo?
Embu acha hz siasa ccm kungoka Ni kwa mtutu wa bundukiPolisi kwenye uchaguzi ujao,wawaambie chama tawala kuwa wao hawajihusishi na siasa.Ngoma ibaki kwao na upinzani,tuone itakuaje.
AiseeNchi ambayo mawaziri wanafungua biashara kama uyoga katika sekta zao hilo ni gulio.
SawaMungu mnamsingizia tu, kuendelea kumusumbua muumba kwa ujinga na utindiga wa akili zetu waafirika ni Ujinga+, inchi inaliwa hii nyie endeleeni kuomba.
Nimeshakueleza sio PURA walishaondelewa hayo mamlaka ya kuagiza mafuta hiyo regulation yako ndio ilianzisha PBPA.Soma sheria basi nilizokupa.
View attachment 2707696
View attachment 2707697
Hii ni PBRA, tena ipo chini ya usimamizi wa EWURA.
Website ya PURA, hapa chini wala hawahusiki na kuagiza mafuta
https://www.pura.go.tz/pages/roles-and-functions
Ujinga unabisha, uliza uelimishwe
Polisi hawawezi wakipewa kitu kidogo wanasahau msoto unaozikumba familia zaos.Polisi kwenye uchaguzi ujao,wawaambie chama tawala kuwa wao hawajihusishi na siasa.Ngoma ibaki kwao na upinzani,tuone itakuaje.
Wote na mkewe waliteuliwa na MagufuliEEEeeenHEEEeeeee!
Mambo haya siyo ya kicheko; lakini wakati mwingine kucheka kwa maumivu inalazimu.
Na Makamba anasemaje? Hujafika huko mkuu 'CRW'!
Sijui CCM safari hii itatumia uchawi gani kujinasua na yote haya? Hao polisi na tume za uchaguzi, kweli watayamudu yote haya?
LOoooh! Hebu ngoja. Huyu Bwana Spika Mume kwani aliteuliwa kushika nafasi hiyo lini?
Isije ikawa ni wakati wa kuweka saini kwenye IGA ya DP World?
Mambo haya wenyewe huyapanga kwa taratibu wazijuazo wao, ati!
Walijua IGA itapelekwa Bungeni ikapate mhuri wa huko, kwa hiyo wakalainisha mambo kungali mapema.
Si ulishuhudia jinsi Spika alivyocheza kama Pele ndani ya Bunge lile na kufunga magoli kedekede kuhusu uridhiaji wa IGA hiyo?
Eee kumbe MH ... ni .... wa huyu duh! Asante kwa taarifa hii muhimu sikuwa nayajua hayaLeo naandika kwa hasira.
Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol?
Mtu na Mme wake, wanatufikisha kwenye gharama za kijinga kabisa leo hii..!
Taarifa hii hapa chini kwa uchache:-
Mume wa spika wa Bunge, ndiye Mkurugenzi wa EWURA, mamlaka ya usimamizi wa Nishati.
View attachment 2707561
Kuna kitu hawa jamaa walicheza nacho kwenye tenda ya uagizaji wa petrol/mafuta mwezi wa Machi mwishoni.
Hoja ikapelekwa bungeni na Mbunge mh. Tabsamu, mh spika, akaizima kabla hata haijaelezwa vizuri yote.
(Video)
View attachment 2707562
Leo kwa mara ya kwanza Mimi nashuhudia Dsm mafuta yamepanda kwa Tsh. 440, na watu wanacheka tu.
B.O.T wanasema dola $ zipo. Hawa EWURA wanasema upungufu wa dola $.
Wakati sheria ipo wazi, mafuta ya kutumia leo, yanaaguizwa miezi mitatu iliyopita!!
Hiyo dola $ iliyoadimika leo, inahusikaje na mafuta yaliyotakiwa kuagizwa mwezi April/May 2023.??!
Waliotunga hii sheria hawakuwa wajinga.
Huwezi kucheza na bidhaa ambayo inaumiza nchi nzima.
Huu ni uwendawazimu!
Mh Rais, kama huwezi kumuondoa huyu ofisini, basi omba hata JWTZ wakusaidie.
Hii ni security products, hata TISS, walitakiwa kujua huyu anatakiwa apishe ofisi, kwa njia zozote zile!
Kwanza kuna conflict of interest kati yake na mkewe na waziri, huo utatu, leo nchi nzima tumeingia gharama.
Tuibe lakini tutumie akili kidogo.
Huu ni uwendawazimu!
Ni ajira mkuu sio agira [emoji1]Gwajima, mzee wa ufufuko alishasema hata usome namna gani kama huna refa hupati agira.
Matatizo ya uhaba wa dollar sio mapya Tanzania ila sidhani kama yamewahi kufikia kiwango hiki hadi kuhatarisha import ya mafuta.Tumlaumu Nani sasa kuwa Muwazi, Waziri WA Tozo Kwa Kiasi Gani, Waziri WA Dollar Naye Kwa Kiasi Gani, na Kwanza kwanini kuna tatizo la Dollar , au ndio hivyo washauri wetu ni Zembwela. Haya na huyo Pura ndiye aliyechezea Tenda, wasimamizi wake ni Nani Mrisho Mpoto au Mgema Safia