EEEeeenHEEEeeeee!
Mambo haya siyo ya kicheko; lakini wakati mwingine kucheka kwa maumivu inalazimu.
Na Makamba anasemaje? Hujafika huko mkuu 'CRW'!
Sijui CCM safari hii itatumia uchawi gani kujinasua na yote haya? Hao polisi na tume za uchaguzi, kweli watayamudu yote haya?
LOoooh! Hebu ngoja. Huyu Bwana Spika Mume kwani aliteuliwa kushika nafasi hiyo lini?
Isije ikawa ni wakati wa kuweka saini kwenye IGA ya DP World?
Mambo haya wenyewe huyapanga kwa taratibu wazijuazo wao, ati!
Walijua IGA itapelekwa Bungeni ikapate mhuri wa huko, kwa hiyo wakalainisha mambo kungali mapema.
Si ulishuhudia jinsi Spika alivyocheza kama Pele ndani ya Bunge lile na kufunga magoli kedekede kuhusu uridhiaji wa IGA hiyo?
Mtu na mkewe wote wana uwezo mdogo wakufikiri na nashangangaa wamepewa madaraka makubwa? Sasa je kama hawa ndio viongozi wanaoongoza wananchi ikiwa uwezo wao ndio huu je wananchi wenyewe uwezo wao ukoje??