Sijaandika kwa chuki kama udhaniavyo.sio mara moja huyu mtu ameingia matatani na kila akibanwa basi itapigwa simu kutoka juu,kuna siku tena pale science akakamatwa na police wakiwa na tra mzigo wake ukiwa kwenye canter flani hivi nyeupe ulikua umetoka kwa hao hao wachina wanaojiita hiview international akiwa hana documents zozote,mchezo ukawa huo huo wa simu kutoka juu.Acha chuki binafsi, zingatia kupata faida kiasi kwenye biashara yako, Huyu kijana hana tamaa ya kuuza bei ghali ya kupata faida za kufuru, hapendi makuu, yeye huridhika na kiduchu apatacho, chuki zako haziwezi kukufikisha popote mtoa mada.
Unazungumzia nchi ipi huko nje??Haya mambo kwa nchi yetu utasikia watu wankuambia acha kufuatilia mambo ya watu,lakini kwa nchi za wenzetu huko duniani ni jambo la aibu na fedheha kwa mtoto wa kiongozi mkuu wa nchi kuhusishwa kwenye mambo ya ukwepaji kodi na upuuzu mwingine unaofanana na huo.
Halafu hiyo familia ya Samia wanavyojifanya wapenda haki,inakuaje wanaruhusu mambo kama haya kwa sababu sio mara ya kwanza kusikia habari za huyo kijana wake hapo kariakoo akisumbuana na maofisa wa TRA?
Sasa kumbe ana kesi tayari iko mahakamani?means vyombo vyao vya usalama viko imara na independent kumshughulikia yeyote anaevunja sheria zao walizojiwekea.Unazungumzia nchi ipi huko nje??
Ikiwa Trump ana kesi nyingi za kukwepa kodi unataka kutuambia nini??
Shida ipo wap? Usilallie bahat ya mwenzako mlango waz. Assume anaishi na mzaz wake.obvius atafanyiw gharam zote.wewe mwanao unamuachaga ukisafir?Huyu dogo habari zake zinazidi kutaradari;
Pamoja hayo yote inasemekana kuwa huyu dogo anasafr na Maza safar zote hasa nje ya nchi na analipwa per diem, accommodation and other cost kama mwajiriwa wa serikali jambo ambalo sio sawa. Mama we are informing u kuwa hiyo sio sawa, tafuta namna sahihi ya mwanao kupata namna nyingine ya stahiki, hizi zitakuja back fire in few yrs to come...plz....
Africa,tanzania ndiyo ilivyoKuna mambo ya kufanyia utani. Tatizo ni kutojuwa ni yapi yanayohusu utani wakati unapotoa maoni.
Kuna mambo mengi sana sikukubaliana na aliyokuwa akifanya marehemu Magufuli; lakini nadhani nchi hii inahitaji sana uongozi wa aina ile, vinginevyo tutakuwa ni taifa la kipumbavu pumbavu tu, kwa aina ya baadhi ya raia wetu walivyo.
uzuri mie namfahamu samia kwa zaidi ya miaka 25 hii kitu kama ni kweli huyo mwanae anafanya,hakijui na hakiungi mkono,lakini huyo kijana pia namfahamu vizuri mno ni mtu asiye na makuu na wala sio mjivuni,sidhani kama anafanya na nitampigia simu nimwambie kuwa kaandikwa jf in case atakuwa hana taarifaAbdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.
Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.
Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.
Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
tusitoe hukumu bila kuwa na taarifa za uhakikaAfrica,tanzania ndiyo ilivyo
Watu fulani kusumbua kisa
Baba zao ,wazazi wao wako kwenye uongozi ni kawaida hiyo
Ova
Wapuuzi wote huwa na mawazo kama yakoSasa mkuu MBNA Inaonekana Kama Wew imekuuma Sana shida nn, Fanya kazi zako acha maisha ya watu utaishi vzuri mambo ya umbea umbea Achana nazo unadhan wahusika hawajui?
Inaonyesha jinsi gani unafuatilia nyendo za binadamu mwenzako hatua kwa hatua, kama binadamu tunalakujifunza kutoka kwako, "kumbe wapo binadamu kazi yao kuu ni kuhangaika na maisha ya wengine"Sijaandika kwa chuki kama udhaniavyo.sio mara moja huyu mtu ameingia matatani na kila akibanwa basi itapigwa simu kutoka juu,kuna siku tena pale science akakamatwa na police wakiwa na tra mzigo wake ukiwa kwenye canter flani hivi nyeupe ulikua umetoka kwa hao hao wachina wanaojiita hiview international akiwa hana documents zozote,mchezo ukawa huo huo wa simu kutoka juu.
Hamjui mlisemalo, mama Samia hana tofauti na Nyerere (kimitazamo),kwa jinsi Nijuavyo, hadekezi, anamsimamo wa kunyoosha, na haki, so ni ngumu hata kwa mtoto kumwambia mamaye jambo la hovyo! (hana tabia ya kutodekeza mtoto)bw abdul anaweza hata kumkoromea mpango na akanyamaza sembuse hao tra!
mpaka hapo lazima mkuu wa usalama amelazimika kumuongezea ulinzi na kumpa namba maalumu ya kuwasiliana nae, igp na kamisha wa tra nao wametoa namba maalumu inayotumiwa na watu maalumu.
shem wake mchengelwa na aweso wameshamtuliza kiakili.
wasaka fursa akina dr kilaza msukuma na gachuma wanawaza kuingza pesa kwenye matairi.
doto biteko anawaza amkabidh mgodi wa dhahabu.
pindi anawaza amkabdh mikumi na serengeti.
maafisa wa benki wanamuomba akope kwao ili wapate koneksheni na ten pa!
MLITAKA AJE AFANANE NA AKINA JOSE WALIVOPAUKA AU AKINA MADARAKA WANAZEKEANA KIMASIKINI?
Anajua tairi linauzwa 20k. Ng'ombeUnasema biashara ya kuuza matairi ni ya kimasikini ?
Sijaandika kwa chuki kama udhaniavyo.sio mara moja huyu mtu ameingia matatani na kila akibanwa basi itapigwa simu kutoka juu,kuna siku tena pale science akakamatwa na police wakiwa na tra mzigo wake ukiwa kwenye canter flani hivi nyeupe ulikua umetoka kwa hao hao wachina wanaojiita hiview international akiwa hana documents zozote,mchezo ukawa huo huo wa simu kutoka juu.