DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
Acha chuki binafsi, zingatia kupata faida kiasi kwenye biashara yako, Huyu kijana hana tamaa ya kuuza bei ghali ya kupata faida za kufuru, hapendi makuu, yeye huridhika na kiduchu apatacho, chuki zako haziwezi kukufikisha popote mtoa mada.
Sijaandika kwa chuki kama udhaniavyo.sio mara moja huyu mtu ameingia matatani na kila akibanwa basi itapigwa simu kutoka juu,kuna siku tena pale science akakamatwa na police wakiwa na tra mzigo wake ukiwa kwenye canter flani hivi nyeupe ulikua umetoka kwa hao hao wachina wanaojiita hiview international akiwa hana documents zozote,mchezo ukawa huo huo wa simu kutoka juu.
 
Daah Wabongo bhana mtu anajiuzia matairi yake mnaandika andika humu njoo Johannesburg uone watu wananunua makontena na makontena ya matairi ishu ya invoice unakutana nayo mpakani huko na SARS sio ndani huko ndani ni polisi kujua labda huu mzigo ni wizi au laa hivyo vikaratasi mnavyofatilia kwa box moja au mbili ni Umasikini tuu huo...ndio maana vitu vingi vipo bei juu na bandari tunayo hao wanaoweza kushusha hapo kwa usumbufu huo wanajiuzia bei yeyote..
Makampuni ya TV na mashine za kuoshea nguo kila mwezi wanashindana kutoa brand mpya ila bongo hivyo vitu bado ni hatari kwa sababu ya Ujinga huo au Microwave...
Wasiokua na bandari ndio wananufaika na bandari yetu ninyi kutwa na TRA yenu kudumaza matumizi ya vitu bora kwa Wananchi hakuna asietaka kulipa kodi punguzeni usumbufu ili hata wageni waache kwenda kununua bidhaa Nairobi Nchi iwe na mzunguko kama huko kwa wenzetu..
 
Haya mambo kwa nchi yetu utasikia watu wankuambia acha kufuatilia mambo ya watu,lakini kwa nchi za wenzetu huko duniani ni jambo la aibu na fedheha kwa mtoto wa kiongozi mkuu wa nchi kuhusishwa kwenye mambo ya ukwepaji kodi na upuuzu mwingine unaofanana na huo.

Halafu hiyo familia ya Samia wanavyojifanya wapenda haki,inakuaje wanaruhusu mambo kama haya kwa sababu sio mara ya kwanza kusikia habari za huyo kijana wake hapo kariakoo akisumbuana na maofisa wa TRA?
Unazungumzia nchi ipi huko nje??

Ikiwa Trump ana kesi nyingi za kukwepa kodi unataka kutuambia nini??
 
Niliwahi kufanya biashara na hao wachina wa mikocheni wanaojiita hiview international, hao jamaa hiyo kutokutoa risiti ndiyo michezo yao na sijui kwa nini TRA Tanzania hawawachukulii hatua.hapo kariakoo wafanyabiashara wengi wanawaita shamba la bibi kwa sababu ya hiyo michezo yao.
Huenda huyo mtoto wa Rais nae kaamua kutumia hiyo fursa kwani wenzake nao wanaitumia.
 
Unazungumzia nchi ipi huko nje??

Ikiwa Trump ana kesi nyingi za kukwepa kodi unataka kutuambia nini??
Sasa kumbe ana kesi tayari iko mahakamani?means vyombo vyao vya usalama viko imara na independent kumshughulikia yeyote anaevunja sheria zao walizojiwekea.
Ushaskia tanzania mtoto wa kiongozi au kiongozi kafikishwa mahakamani kwa kesi kama hizo?
 
Unadhani yeye ni mpuuzi kiasi hicho mpaka akauze matairi? Achaneni na mambo ya Abdul hamtayaweza. Ingawaje simfahamu.

Na huo muda hata wa kurecord hayo unautoa wapi? Nyie mnaoshauri arekodiwe. Kwa taarifa yako Huyu Rais Hata ungejitoa kafara wewe na ukoo wako na kabila lako lote. Huwez kumchafua maana influence yake imefika mpaka kwa Mungu achilia mbali kimataifa.

Ndio mana ikatabiriwa na IMF licha ya uchumi kuyumba duniani ila wa Tanzania utakua zaidi kwa ajili yake.
 
Huyu dogo habari zake zinazidi kutaradari;
Pamoja hayo yote inasemekana kuwa huyu dogo anasafr na Maza safar zote hasa nje ya nchi na analipwa per diem, accommodation and other cost kama mwajiriwa wa serikali jambo ambalo sio sawa. Mama we are informing u kuwa hiyo sio sawa, tafuta namna sahihi ya mwanao kupata namna nyingine ya stahiki, hizi zitakuja back fire in few yrs to come...plz....
Shida ipo wap? Usilallie bahat ya mwenzako mlango waz. Assume anaishi na mzaz wake.obvius atafanyiw gharam zote.wewe mwanao unamuachaga ukisafir?
 
Kuna mambo ya kufanyia utani. Tatizo ni kutojuwa ni yapi yanayohusu utani wakati unapotoa maoni.

Kuna mambo mengi sana sikukubaliana na aliyokuwa akifanya marehemu Magufuli; lakini nadhani nchi hii inahitaji sana uongozi wa aina ile, vinginevyo tutakuwa ni taifa la kipumbavu pumbavu tu, kwa aina ya baadhi ya raia wetu walivyo.
Africa,tanzania ndiyo ilivyo

Watu fulani kusumbua kisa

Baba zao ,wazazi wao wako kwenye uongozi ni kawaida hiyo

Ova
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.

Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.

Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.

Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
uzuri mie namfahamu samia kwa zaidi ya miaka 25 hii kitu kama ni kweli huyo mwanae anafanya,hakijui na hakiungi mkono,lakini huyo kijana pia namfahamu vizuri mno ni mtu asiye na makuu na wala sio mjivuni,sidhani kama anafanya na nitampigia simu nimwambie kuwa kaandikwa jf in case atakuwa hana taarifa
 
Sasa mkuu MBNA Inaonekana Kama Wew imekuuma Sana shida nn, Fanya kazi zako acha maisha ya watu utaishi vzuri mambo ya umbea umbea Achana nazo unadhan wahusika hawajui?
Wapuuzi wote huwa na mawazo kama yako
 
Sijaandika kwa chuki kama udhaniavyo.sio mara moja huyu mtu ameingia matatani na kila akibanwa basi itapigwa simu kutoka juu,kuna siku tena pale science akakamatwa na police wakiwa na tra mzigo wake ukiwa kwenye canter flani hivi nyeupe ulikua umetoka kwa hao hao wachina wanaojiita hiview international akiwa hana documents zozote,mchezo ukawa huo huo wa simu kutoka juu.
Inaonyesha jinsi gani unafuatilia nyendo za binadamu mwenzako hatua kwa hatua, kama binadamu tunalakujifunza kutoka kwako, "kumbe wapo binadamu kazi yao kuu ni kuhangaika na maisha ya wengine"
 
bw abdul anaweza hata kumkoromea mpango na akanyamaza sembuse hao tra!

mpaka hapo lazima mkuu wa usalama amelazimika kumuongezea ulinzi na kumpa namba maalumu ya kuwasiliana nae, igp na kamisha wa tra nao wametoa namba maalumu inayotumiwa na watu maalumu.

shem wake mchengelwa na aweso wameshamtuliza kiakili.
wasaka fursa akina dr kilaza msukuma na gachuma wanawaza kuingza pesa kwenye matairi.

doto biteko anawaza amkabidh mgodi wa dhahabu.

pindi anawaza amkabdh mikumi na serengeti.

maafisa wa benki wanamuomba akope kwao ili wapate koneksheni na ten pa!

MLITAKA AJE AFANANE NA AKINA JOSE WALIVOPAUKA AU AKINA MADARAKA WANAZEKEANA KIMASIKINI?
 
Hamjui mlisemalo, mama Samia hana tofauti na Nyerere (kimitazamo),kwa jinsi Nijuavyo, hadekezi, anamsimamo wa kunyoosha, na haki, so ni ngumu hata kwa mtoto kumwambia mamaye jambo la hovyo! (hana tabia ya kutodekeza mtoto)
 
Mbona kama umeandika kwa unyonge sana?! Watu na nyadhifa zao, anatumia mgongo wa mama kufanya uharamu wake. Kwani yeye hatumii jf, najua ujumbe ataupata tu.
 
Sijaandika kwa chuki kama udhaniavyo.sio mara moja huyu mtu ameingia matatani na kila akibanwa basi itapigwa simu kutoka juu,kuna siku tena pale science akakamatwa na police wakiwa na tra mzigo wake ukiwa kwenye canter flani hivi nyeupe ulikua umetoka kwa hao hao wachina wanaojiita hiview international akiwa hana documents zozote,mchezo ukawa huo huo wa simu kutoka juu.

Si bora ni tairi ingekuwa drugs si ungeenda CNN kabisa wewe? Acha husda.

Kwahiyo wewe kila hatua unamfuatilia yeye tuu eti? Kwanza nashangaa kwanini hakuna wasaidizi wa kumfanyia cover huyo kijana kweli Mzazi wake hana makuu.
 
Hivi unapata wapi jeuri wewe afisa wa TRA kumkamata mtoto wa Rais, hivi unajua nguvu ya Rais achenj jitafutia matatizo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom