DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
Huyu dogo habari zake zinazidi kutaradari;
Pamoja hayo yote inasemekana kuwa huyu dogo anasafr na Maza safar zote hasa nje ya nchi na analipwa per diem, accommodation and other cost kama mwajiriwa wa serikali jambo ambalo sio sawa. Mama we are informing u kuwa hiyo sio sawa, tafuta namna sahihi ya mwanao kupata namna nyingine ya stahiki, hizi zitakuja back fire in few yrs to come...plz....
Nongwa tuu.
 
Wanataka waje kumcheka Mama yake akitoka madarakani Kua mtoto wa Raisi hakua na akili, Abdul endelea kupiga Hela nyingi zaidi ya hizo piga hela piga Hela hachana na wenye wivu

Mama akitoka madarakani na ukiwa hauna hela watakucheka
Umeona watoto rais wa kwanza
 
Huyo mtoto nae itakuwa zero upstairs yani mtoto wa Rais unauza matairi,haoni wenzake wakina ridhiwani wanamiloki vituo vya mafuta kila Mkoa
 
Hizo ni kelele za Chura hazimnyimi tembo kunywa maji mimi sina hata ndgu yangu Mtendaji wa Kitingoji serikali sembuse mtoto wa Rais acha afurahie maisha mama ake akiwa Mkuu wa Nchi
 
Huyo mtoto nae itakuwa zero upstairs yani mtoto wa Rais unauza matairi,haoni wenzake wakina ridhiwani wanamiloki vituo vya mafuta kila Mkoa

Angalau ameopt kidogo cha mwenye haki, kuna watoto hao hawasemwi popote lakini upekuzi wa kina ukifanyika huenda tutashika vichwa na kukaa chini. Acheni nongwa.
 
Kama dogo anachuuza magurudumu ya motokaa mwacheni tu mbona hatupigi sana jamani...!

Wallah nawaambia hasira za mama yake zikiwaka, yaani mkiendelea kumzingua dogo atapewa kandarasi nyeti ya kujivunia mijihela ya kufulu!
hamjui kwamba nchi ina rasilimali nyingi tu za kupiga hela??

Msijitoe ufahamu jamani bado tupo bara giza. This is Africa na hii ni Tanzania nchi ambayo Rais kapewa mamlaka makubwa sana na katiba ya jamhuri.
 

Pengine kijana anaona vile kodi inavyotumika vibayà na ndio maana hataki kulipa.
 
Ukisoma comment za watu wengi humu ni kwamba nchi hii watu tushazoea uvunjivu wa sheria kiasi kwamba as long as una cheo basi ni haki yako kufanya chochote. Halafu watu hawa hawa baadaye utasikia wanasifia kuheshimu sheria katika nchi za wenzetu. Afrika bwana.

Mimi narudia kusema, shida ya nchi hii sio katiba bali ni utayari wa kuheshimu hata hiyo katiba. Kama mawazo na fikra za wananchi wenyewe ndio kwamba mtoto wa raisi anaweza fanya chochote, au anaweza kupewa exclusive right ya kuagiza hata matairi, hata ije katiba mpya hakuna kitakachobadilika. TRA yenyewe ina mamlaka ya kukusanya kodi kutoka kwa wafanyabiashara ila simu moja tu inawazuia kufanya hivyo.

Umemaliza mkuu…
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom