DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
Shida vyombo vilivyowekwa kusimamia hilo ndipo shida ilipo. Hapo unakuta kamishena wa TRA anawaza tukimfungia biashara kesho mama yake anaweza kuniondoa.
Ila hii nchi ina mambo mengi ya ajabu. Hapo nyuma kuna mfanyabiashara mmoja mkubwa alikuwa ameingiza bidhaa zishaisha muda wake na kaziweka supermarket.
Kuna jamaa alikuwa anafanya humo humo supermarket akamchoma kwa TFDA ambayo sasa ni TMDA kwa kuwapigia simu. Mara ghafla maafisa hao wakafika pale wakawakomba wahusika. Huyo mfanyabiashara akapewa taarifa, akapiga simu moja tu, wale maafisa wakaambiwa nani kawatuma wawarudishe wafanyakazi haraka sana.
Mfanyabiashara huyo hakuishia hapo, ndani ya dakika chache alikuwa ashapewa namba ya nani aliyetoa taarifa na akagundua ni mfanyakazi wake.
Akampigia simu akamwambia yani wewe ndiye wakunichoma mimi. Jamaa alianza kuishi kwa mashaka ikambidi aende mwenyewe kumwomba msamaha na kumpa sababu ya kwanini alifanya hivyo.
Nchi hii ndio maana watu wanafumba macho maana jamaa angeweza kumfanyia kitu kibaya maana ni mfanyabiashara mkubwa sana.
Hii nchi Ina vi-system vidogo vidogo viiiiingi Rais mwnyewe hajui chochote kinachoendelea zaidi ya hapo Ikulu tu.
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.

Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.

Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.

Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Mama mkanye mwanso au tutajua lenu moja. Na hao maofisa wanaomwachia aendelee na upuuzi eti wanapewa maelekezo wamwache na mizigo yake ya magendo waache uchochoro wa kuhongwa halafu wanajidai kuna vimemo.
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.

Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.

Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.

Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Maafisa wa TRA wameshindwa wewe ndiyo utaweza kupaza sauti ,sema umetia mkazo sana una kitu nyuma ya pazia
 
Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.
Dawa yae ni ndogo, Kariakoo yote igome mpaka kieleweke, huu ni uhuni, wabara wananyanyasika vya kutosha
 
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
wewe ni mhenga mwenzangu hapa jf, tuna miaka mingi ndani ya platform hii.

ila ulichoandika ni kama kijana wa 20s aliyejiunga na jf mwaka jana.
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.

Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.

Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.

Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Kanunua mzigo wa kiasi gani? Ukubwa wa mzigo? Japo mfano tu, huo mzigo aliokataa kutoa risiti za Efd ni wa kiasi gani? Hebu tenda haki kwa kuongea kwa facts. Vinginevyo mwache kijana atafute maisha kwa biashara ambayo ni ya wazi si magendo. 🙏🙏🙏
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.

Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.

Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.

Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.

Umesahau kumkumbusha

Akija Farao aisemjua Yususu akaanza kumshughulikia asiseme hakuambiwa

WATU HAWAJIFUNZI KABISA, unaweza kuona ni miaka mingi mbele lakini SIKU HAZIGANDI ukifikiwa usilalameke
 
Acha kuzusha vihabari na kuchafua majina ya viongozi wetu na familia zao pasipo kuwa na ushahidi wa aina yoyote Ile,kwa hiyo kwa vimaandishi vyako hivi visivyo na ushahidi unataka tukuakini? Kwanini unataka kuleta uongo wako hapa kwa Nia yako ovu na wanaonkutuma?
 
Mimi nasema Abdullihalim Ameir wewe huutaki ubunge kama mtoto wa kikwete hata unauza matairi?.
Mimi nasema mtoto wa rais hutaki kumiliki migodi kama watoto wa marais wengine?.
Mimi nasema inakuwaje ubaki Kariakoo hapo unataka kunukia oil chafu na harufu ya matairi?.
Mimi nasema Abdull Ameir jiongeze mama yupo kesho hayupo kula matunda ya nchi kama watoto wa Kagame na Museven.
Mimi nasema Abdull Ameir angalia mtoto wa Kenyatta(Uhuru) na yule mtoto wa kike wa Angola lazima uwe tajiri kwa mgongo wa mzee.
Mimi nasema tena unagombana nini na TRA wakati wewe unatakiwa uwe na maongezi na Waziri wa fedha na mshika fedha mkuu wa nchi. Au matairi na oil na harufu ya Kariakoo imeleta athari kwako.
 
Wizi ni wizi tu,hata ukifanywa na mwananchi wa kawaida au mtoto wa Rais,hapa tra wasitafute kisingiziao na sympathy,nchi hii wezi wapo wengi hata ndsni ya Tra,Kuna wale waliokamatwa iringa wakitoa kadi za vyombo vya moto kinyemela,
Wasiangaike na mtoto wa Raisi,wapo wezi kibao tu nchi hii,huyo wamlipoti kwa waziri,waendelee kukamata wengine
 
Jali mambo yako heri ya muoga ambaye huonesha yale ni makaburi ya mashujaa wetu. You have a family to feed not a society to impress.
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu dogo habari zake zinazidi kutaradari;
Pamoja hayo yote inasemekana kuwa huyu dogo anasafr na Maza safar zote hasa nje ya nchi na analipwa per diem, accommodation and other cost kama mwajiriwa wa serikali jambo ambalo sio sawa. Mama we are informing u kuwa hiyo sio sawa, tafuta namna sahihi ya mwanao kupata namna nyingine ya stahiki, hizi zitakuja back fire in few yrs to come...plz....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom