DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
ndio mambo yalivyo ukiwa kwenye duara la watawala hii nchi ni rahisi kuvunja sheria tena kwa makusudi.akuna namna unaweza kudhibiti iyo hali kwa mifumo iliyopo ni kumuacha tu mtoto wa Rais akwepe kodi.
 
Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Ma CHAWA huwasilisha taarifa nzuri pekee..
Ungemwandikia kule Twitter angeona mwenyewe
 
Urefu wa Kamba za Mbuzi....

Tatizo ni kwamba kuna ambao hawana Kamba na wengine kamba zimebada shingo hata kumeza mate wanshindwa..., na bado tozo wanatoa wakati wengine bila kuficha wanakula hadi makombo....

Narudia mara nyingine tena hawa watawala hawajui kula na Vipofu na Bomu wanalotengeneza litakuja kutugharimu hata watazamaji....
 
Kama wewe mwenyewe ushaona siasa za kuipigania nchi yako uziwezi jifunze kwenda na wakati.

Kuna watu wana mishahara minono, wameapa kuilinda hii nchi kwa kusimamia sheria na usalama wake; wapo kimya.

Sasa kama hao wote awajali we nani uumize kichwa.

Fata ushauri wa ‘Jerry Slaa’ aliopewa na rafiki yake wa kidosi enzi za JK kuhusu kupambana na madawa ya kulevya ‘mimi macho mbili naona tatizo kubwa, serikali macho yote aoni’ sasa kwanini nijifanye kiherehere.

Ishi na wakati, mengine waachie wenyewe.
 
Mwandishi usirudie kupost maada kama hizi ni personal attack. Sio haki maada ya inatuchafua sisi watanzania. Rais niwakilishi wetu.Acha kukusumbua Rais wetu. Na mambo yako ya mataili kariakoo. Jina huyo unasema mtoto wa Rais hakuna jina linafanana Rais wetu Dr.samia Suluhu Hassan. Mtoa post tuombe msamaa
 
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Kuuza matairi ni biashara ya kimasikini [emoji1787]
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.

Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.

Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.

Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Huyu ndio Ridhiwan mpya town bado kubeba.......

USSR
 
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Aisee Umeandika ujinga sana kama akili za watanzania wengi ziko hivi basi tuna safar ndefu.
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.

Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.

Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.

Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Pambavu msituambie sisi pambaneni na hali yenu. Kazi iyendelee
 
Kuna wakati unapwaya sana mkuu.
Hoja sio ukubwa wa biashara bali kulichafua jina la mama yake kwa kutohwshimu sheria
Yaani tayari umeshamuamini mleta mada 100%
 
Hahahahahahaaa!!! Conflict of interest. Na Hii ndio kariakoo
 
Unamjuwa binti mrembo mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola Does Santos?
Simjui, kwa hivyo kama huo ujinga unafanyika huko Angola ndio nahapa Tanzania tuukubali?!.
Halafu unajiita Dr kwa akili hizi!. Ni sawa na kusema jirani yako ni shoga hivyo na wewe ukimuiga na wote kuwa mashoga haitakuwa shida🤣🤣
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.

Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.

Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.

Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Mtanikumbuka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom