DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
Nimeelewa sana. Sasa yeye Kama ni afisa wa TRA anashindwa vipi kupelekea malalamiko ofisini? Sheria ndiyo Kila kitu aache uchonganishi.
Kupeleka ofisini kunamzuia yeye kuleta mada hapa? Kama ndivyo Basi Jukwaa lifungwe maana kila kitu kilichopo humu kina sehemu ya kupeleka kwa mujibu wa sheria na taratibu
 
Utakuwa ni mpinzani wake kwenye biashara ya tairi,

Au una roho mbaya tu, haiwezekani na haiwezekani hasa kwa mtoto wa rais, hivi unajua cheo cha urais kweli?
Mke wa rais ndio rais wa wanawake wote nchini, mtoto naye hivyo hivyo, hata umbwa wa rais ndio rais wa umbwa wote nchini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom