DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
Sasa mkuu MBNA Inaonekana Kama Wew imekuuma Sana shida nn, Fanya kazi zako acha maisha ya watu utaishi vzuri mambo ya umbea umbea Achana nazo unadhan wahusika hawajui?
Kama yanayosemwa ni kweli inayochezewa ni serikali na nchi kwa ujumla.kwahiyo usichukulie kirahisi mambo kama hayo.Tra ni chombo chetu sisi wananchi kinakusanya kodi zetu sisi wananchi kwa niaba yetu ili serikali tuliyoichagua izitumie kutuletea maendeleo.sasa ukiona kuna mtu anatumia wadhifa wake au wa mtu kuhujumu kodi zetu inatakiwa tuwe wakali.Taifa la wanaojitambua huwezi kukuta ujinga wa hivyo.
 
Mtoto wa Rais hahitaji kuuza matajiri..kkoo..
Anaweza ongea na Rais akapewa kibali peke yake kuingiza matari halafu hizo kampuni zote zikanunua kwake Kwa jumla ....wala asifike kkoo...
Hata kuuza hiko kibali Kwa mhindi mmoja au mchina akapiga hela bila kufika kkooo
Au Rais akamuambia aanzishe kampuni yake ya kandarasi za barabara na akawa anapewa tenda kama zote...
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone kariakoo.
Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa tra wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu.hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo.anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.
Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti.ule mzigo kufika kariakoo maofisa wa tra wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote.so baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale.wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.
kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anataitiwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua.
sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale kariakoo.
Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu,jaribu kukaa na mwanao umrekebishe,hizo vurugu zake hapo kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Huyu sio Rais ashughulikiwe mara Moja,watu kama Hawa kwenye Nchi za wenzetu ndio hufiatiwa Kwa makini Ili wasitumie nafasi za Wazazi wao vibaya.

Mwisho anadhani Mama yake atakuwa Rais milele?
 
Kuna wakati unapwaya sana mkuu.
Hoja sio ukubwa wa biashara bali kulichafua jina la mama yake.
Ukisoma comment za watu wengi humu ni kwamba nchi hii watu tushazoea uvunjifu wa sheria kiasi kwamba as long as una cheo basi ni haki yako kufanya chochote. Halafu watu hawa hawa baadaye utasikia wanasifia kuheshimu sheria katika nchi za wenzetu. Afrika bwana.

Mimi narudia kusema, shida ya nchi hii sio katiba bali ni utayari wa kuheshimu hata hiyo katiba. Kama mawazo na fikra za wananchi wenyewe ndio kwamba mtoto wa raisi anaweza fanya chochote, au anaweza kupewa exclusive right ya kuagiza hata matairi, hata ije katiba mpya hakuna kitakachobadilika. TRA yenyewe ina mamlaka ya kukusanya kodi kutoka kwa wafanyabiashara ila simu moja tu inawazuia kufanya hivyo.
 
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Kuna tajiri hapo kariakoo ana nyumba 12 zote gorofa na dar nzima nyumba za maana 30, jumla 45 anauza matairi hayo hayo.

Kuuza kwake kusiwe sababu ya mama kuwa na cheo kusumbua.
 
Sawa kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake. Hayo ndio malupulupu yake kuwa mtoto wa rais. Africa hicho kitu kidogo sana. Hata ningekuwa mimi ningetumia hiyo nafasi kwa nchi hizi za Africa. Tena huyo haijatumia vizuri hiyo nafasi ya kuwa mtoto wa mheshimiwa. Hiyo mizigo kwa sasa ilitakiwa awe anapambana na TRA pale bandarini ana kontena 10,15. Mimi nisingehangaika na huto tutyre twa hapo hapo dar. Ilikuwa aanze kuchapisha tyre zake nje. Bado namuona kinda kwenye mambo hayo.
Wewe rejea Ri-1 katengeneza hela, maisha kupitia nafasi kama hiyo na bado anapiga mkwanja kupitia hiyo,hajazubaa. Ni tajiri kwa sasa
Mwingine Mtoto wa rais wa zamani Angola ni mwanamke tajiri Africa.
Wewe unataka baadae waanze kutanga tanga na kuongea ongea kama watoto wa kiongozi wa kwanza humu
 
Ukisoma comment za watu wengi humu ni kwamba nchi hii watu tushazoea uvunjivu wa sheria kiasi kwamba as long as una cheo basi ni haki yako kufanya chochote. Halafu watu hawa hawa baadaye utasikia wanasifia kuheshimu sheria katika nchi za wenzetu. Afrika bwana.
Mimi narudia kusema, shida ya nchi hii sio katiba bali ni utayari wa kuheshimu hata hiyo katiba. Kama mawazo na fikra za wananchi wenyewe ndio kwamba mtoto wa raisi anaweza fanya chochote, au anaweza kupewa exclusive right ya kuagiza hata matairi, hata ije katiba mpya hakuna kitakachobadilika. TRA yenyewe ina mamlaka ya kukusanya kodi kutoka kwa wafanyabiashara ila simu moja tu inawazuia kufanya hivyo.
Hadi hapo katiba bora lazima iwe muhimu ili kuwaweka watu katika mstari.kwa hiyari yao kamwe hawawezi kufanya kwahiyo lazima kuwe na muongozo.ukimess kidogo inakula kwako bila kuangaliana sura wala cheo.
 
Mtoto wa Rais kufanya dili zinazoonekana kama za kusukuma tairi, naona kama kajishusha sana...

Kuna Rais wanaye ulikuwa hata hujui wanapiga dili gani...

Hata hivyo ni vyema akafuata sheria, sababu inahubiriwa kwamba hakuna aliye juu ya sheria japo kiafrika ni ngumu...
Biashara kubwa ya Nassoro Binslum ni hizo tairi, wengi hamjui hiyo biashara inalipa sana.
 
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Mkuu shida sio kufanya biashara. Ni jinsi anavyofanya kwa mujibu wa mtoa mada.. wafanyabiashara wengine kufanya magumashi haihalalishi yeye kufanya magumashi hasa ukijua nafasi ya familia yake.
 
Hadi hapo katiba bora lazima iwe muhimu ili kuwaweka watu katika mstari.kwa hiyari yao kamwe hawawezi kufanya kwahiyo lazima kuwe na muongozo.ukimess kidogo inakula kwako bila kuangaliana sura wala cheo.
Shida vyombo vilivyowekwa kusimamia hilo ndipo shida ilipo. Hapo unakuta kamishena wa TRA anawaza tukimfungia biashara kesho mama yake anaweza kuniondoa.
Ila hii nchi ina mambo mengi ya ajabu. Hapo nyuma kuna mfanyabiashara mmoja mkubwa alikuwa ameingiza bidhaa zishaisha muda wake na kaziweka supermarket.
Kuna jamaa alikuwa anafanya humo humo supermarket akamchoma kwa TFDA ambayo sasa ni TMDA kwa kuwapigia simu. Mara ghafla maafisa hao wakafika pale wakawakomba wahusika. Huyo mfanyabiashara akapewa taarifa, akapiga simu moja tu, wale maafisa wakaambiwa nani kawatuma wawarudishe wafanyakazi haraka sana.
Mfanyabiashara huyo hakuishia hapo, ndani ya dakika chache alikuwa ashapewa namba ya nani aliyetoa taarifa na akagundua ni mfanyakazi wake.
Akampigia simu akamwambia yani wewe ndiye wakunichoma mimi. Jamaa alianza kuishi kwa mashaka ikambidi aende mwenyewe kumwomba msamaha na kumpa sababu ya kwanini alifanya hivyo.
Nchi hii ndio maana watu wanafumba macho maana jamaa angeweza kumfanyia kitu kibaya maana ni mfanyabiashara mkubwa sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom