DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
Sasa wanangoja nini hao TRA?
 
Bora asifanye kuliko kuifanya ndivyo sivyo inaweza kuwa mfano kwa wengine kuifanya ndivyo sivyo (akiamua kufanya well and good kwanini asifanye kwa ufasaha na kuwa mfano wa kuigwa)?

Kama kweli anafanya faulo bora hizo faulo akazifanyie huko pasipoonekana..., Kila siku narudia haya maneno..., Wapuuzi wengi wa sasa hawajui kula na Vipofu, na hii impact ya upuuzi wao itatu-cost hata sisi watazamaji....
 
Sasa wanangoja nini hao TRA?
According to Mleta Uzi allegedly Maafisa wakitaka kufanya kitu simu zinapigwa kutoka juu kwamba wasifanye..., Pia jamaa anaji-mwambafai kwa kufanya huu upuuzi.... (Ingawa hizi ni allegations binafsi sina uhakika)

Kwahio simuongelei Dogo per-se sababu huenda anasingiziwa naongelea yoyote anayefanya au anataka kufanya huu Upuuzi
 
Hivi Tanzania hii na mimali iliyokuwepo angekuwa huyo si mtoto mwema angekaa kuuza tairi? Saa hizi si angekuwa godfather wa wawekezaji mabilionea.

Mleta nada ni mjinga mmoja aliyekosa cha kuandika, ni katika vibaraka wa sukuma gang.
 
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Bakhresa anauza lambalamba 500, MO anauza juice za 200.
Wao ni masikini pia?
 
Henchmen wake akina Makonda, Sabaya, Musiba na wengine bado wapo, wanaweza kuendeleza pale walipoishia enzi za Jiwe wapigie tu chapuo wazo linaweza kusikilizwa.
All in all si-support ujinga wa mtu yoyote kukwepa kodi au viongozi kuanzisha companies kwa kutumia majina ya watu wengine huku zikipewa tenders muhimu(kama alivyokuwa akifanya Jiwe).
Tunahitaji nchi inayofuata utawala wa sheria, katiba itakayozipa institutions nguvu na kuwabana viongozi waweze kushitakiwa, viongozi muhimu wasiwe presidential appointees kiasi kwamba wawe na nguvu ya kumuwajibisha au kumsimamisha kizimbani au pawepo mamlaka za kuweza kumsimamisha kwa ajili ya uchunguzi unaomuhusu. Hata hili la mtoto wake alipaswa kuhojiwa na kulazimishwa kutoa public statement kwani linamchafua direct, kwenye civilized countries watoto wa viongozi huogopa sana scandals za aina hiyo(kukwepa kodi) kwani zinamuathiri moja kwa moja mzazi(kiongozi).
TRA nao huonea sana wafanyabiashara wasio na 'connections' ili wapewe rushwa kwa hiyo scandals zao pia ni nyingi mno ndiyo maana wanakuwa waoga kwani wakimbana mtoto wa kiongozi whistleblowers watapayuka na kuuanika uozo wao na wanaweza hata kujikuta wakisimama kizimbani, kwa kifupi maafisa wa TRA ni majambazi wanaofanya ujambazi wao mchana kweupe.
 
TRA officer kaamua kua mkuda[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kwa ishu hizi hata ushindani wa biashara unakua wa mashaka!
 
Hujaja huku Moro uone balaa lake!
Mlio karibu nae mwambieni afanye tu Ibada akiweza aende na Hija

Turiani kwenye mashamba yake ya miteak au Moro sehemu gani?
 
Kwahiyo wanamtarget kila siku sababu ni mtoto wa rais? 🤔..
Sisi wabongo ni wanafiki sana,, kama kila mtu angelipa kodi stahiki, hii nchi ingekuwa tjiri kuzidi america,
99.9 ya wabongo wanakwepa kodi, nikiwemo mimi😆😆
 
We ndio umepatia,, tatizo liko kwa wabongo wenyewe, sio katiba mpya, au chama cha siasa,, wabongo wengi ni wezi, wala rushwa na wakwepakodi wazuri,, na hili tatizo halina dawa,, hata chama gani kikishika nchi,
Hivyo bora zimwi likujualo, A known entity is better than unknown entity...
There is known known, and known unknown, what is unknown is not known, and what is known isnt unknown🤷🏽‍♂️
 
Hiyo paragraph ya mwisho nikajua Pascal Mayalla aka Njaa, mpaka ikabidi nisome ID hapo juu.
 
Mtoto wa Rais ndo auze matairi tena kariakoo soko la machinga. Acheni fitina wewe una chuki tu na huyo mtu wala hana uhusiano na Rais
 
Hivi Tanzania hii na mimali iliyokuwepo angekuwa huyo si mtoto mwema angekaa kuuza tairi? Saa hizi si angekuwa godfather wa wawekezaji mabilionea.

Mleta nada ni mjinga mmoja aliyekosa cha kuandika, ni katika vibaraka wa sukuma gang.
Leo Sukuma Gang wamekuwa wabaya.!? Mapambio ya Magufuli mmeyasahau siku hizi!? Hii ni bonge la "U turn". Bendera fata upepo hii.
 
Acheni kumsumbua kijana. Mama yake anaupigwa mwingi. Huko ni kumtafutia matatizo na kumgawa mama yake kwenye fikra za watu.
Kama mnajua anaweza nasuka kwanini mumsumbue.
Acheni ujinga na kupoteza muda
Nchi hii uhuru umepitiliza sana. Sasa hapo umeandika nini kwa hiyo unatetea uovu. Aiseeeee.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…