FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Sasa wanangoja nini hao TRA?Hata kama angekuwa wewe au mimi ingebidi tuwajibishwe..., issue sio fulani anafanya nini issue ni kama Sheria imevunjwa....,
Hata kama sio kweli tumeaminishwa no one is above the Law... Hio ndio misingi inayoleta peace and harmony (kwamba hakuna anayeonewa)
Tatizo la Wapuuzi wachache kuvunja Sheria waziwazi inafanya kazi ya Watendaji kuwa ngumu sana..., sababu inaweza kutokea mgomo baridi kwamba fulani mbona hafanyi hivi....,
Mambo madogo madogo kama haya ambayo hayana hata umuhimu na ulazima impact yake inaweza kuwa mbaya zaidi....
'Justice should not only be done, but should manifestly and undoubtedly be seen to be done'