DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
We mtu Wakati nazozana na Wewe pale ulisema unajua utaenda kulisema mahali kumbe umekuja huku. 🤔️. Subiri simu nyingine Toka juu.
 
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Hata mimi nashangaa.
 
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Really Really?n Eti biashara ya kimasikinimaanayake nini , ikiwa yakimaskini ndio akwepe kodi no way out Ndiomaana wazazi wao wakitoka nadarakaninwanaishimkwa tabu kwa kuzoea kubebwa.Anapaswa kulipa kodimkamammfanyanbiashara mwingine
 
Inashangaza kuona watu wanaona sawa kwa mtoto wa kiongozi kuvunja sheria na kutumia cheo cha mzazi kama ngao.

Cc😀r Mollel.
 

mkuu kwa hiyo ulitaka nayeye auze ngada? Au utumie hela ya Uma kama wanavyofanya wengine?
 
Umenena mkuu kuna wajinga wengi humu, angekuwa hayo kayafanya mtu wa kawaida ungesikia kelele nyingi lakini kwa kuwa ni mtoto wa mkubwa wao wanaona sawa tu, ingekuwa nchiza wenzetu hiyo ilitosha kuwa kashfa, mtoto wa masikini alipe kodi na mtoto wa mkubwa asilipe kodi kweli tutafika?
 
Hayo ni moja ya matatizo sugu yanayowatesa waTZ, Na lakusikitisha zaidi ni kuwa sisi ambao tupo nje ya mfumo tunatamani na sisi tupate fursa kama hiyo ili nasisi tupate nafasi ya kuvunja sheria.
 
Ni ujinga kumshambilia mtoa taarifa inawezekana huyu ni mmoja wa maafisa wa tra lakini ameona sehemu sahihi ya kusemea hili jambo ni hapa jf Sasa unashangaa Kuna wapumbavu humu wanauliza ushahidi wakati hawana ushahidi kama kweli hakwepi Kodi na wengine wanaona ni sawa tu lijamaa kukwepa Kodi wakati hata mmachinga analipa Kodi hii jf imevamiwa Ina mazuzu wengi Sana njaa imepofusha akili za wengu humu wakati mwingine wanatetea mpaka ujinga inasikitisha sana

Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
 
We mgeni wa tawala za kiafrika au

Ova
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…