Wewe kwa nini usiwe na hiyo hoja.Kwa akili kama hizo kuna werevu kweli hapo?. Wazazi wako walipoteza ada. Kitu cha kujibu kwa hoja unapayuuukaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kwa nini usiwe na hiyo hoja.Kwa akili kama hizo kuna werevu kweli hapo?. Wazazi wako walipoteza ada. Kitu cha kujibu kwa hoja unapayuuukaa.
Yes wasimchafue mwenzetu katika Iman😅😅hili nalo wakalitazame haraka sana 😅😅😅🏃🏊
We mtu Wakati nazozana na Wewe pale ulisema unajua utaenda kulisema mahali kumbe umekuja huku. 🤔️. Subiri simu nyingine Toka juu.Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.
Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.
Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.
Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Tuumie kwa lipi ndugu😅 yetu👀tunajua timu mnyazi wengi ilmu ndogo na uwezo kisoda 😅so no big dealNi vyema umeliona hilo, mshaanza, roho zinawauma.
AlhamduliLlah.Tuumie kwa lipi ndugu😅 yetu👀tunajua timu mnyazi wengi ilmu ndogo na uwezo kisoda 😅so no big deal
Hata mimi nashangaa.Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Masheitwan Tena?😅😅😅faiza bana 🤔 huyu kijana ni mwenzetu hawezi lipa Kodi ni kosa kubwa la kikafiri ujue 😅😅AlhamduliLlah.
Masheitwan mnajulikana.
Really Really?n Eti biashara ya kimasikinimaanayake nini , ikiwa yakimaskini ndio akwepe kodi no way out Ndiomaana wazazi wao wakitoka nadarakaninwanaishimkwa tabu kwa kuzoea kubebwa.Anapaswa kulipa kodimkamammfanyanbiashara mwingineYaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Wewe ndiyo utaishi hivyo ila siyo waoUsiishi kwa mazoea bro....ishi kwa taratibu kanuni na sheria!!
Mtoto wa Rais kufanya dili zinazoonekana kama za kusukuma tairi, naona kama kajishusha sana...
Kuna Rais wanaye ulikuwa hata hujui wanapiga dili gani...
Hata hivyo ni vyema akafuata sheria, sababu inahubiriwa kwamba hakuna aliye juu ya sheria japo kiafrika ni ngumu...
Huyo mchangiaji anayejiita BOSS ni mjinga siku zote hajui anachokisema labda nae anaambulia masega ya walamba asaliUnasema biashara ya kuuza matairi ni ya kimasikini ?
Umenena mkuu kuna wajinga wengi humu, angekuwa hayo kayafanya mtu wa kawaida ungesikia kelele nyingi lakini kwa kuwa ni mtoto wa mkubwa wao wanaona sawa tu, ingekuwa nchiza wenzetu hiyo ilitosha kuwa kashfa, mtoto wa masikini alipe kodi na mtoto wa mkubwa asilipe kodi kweli tutafika?Kama yanayosemwa ni kweli inayochezewa ni serikali na nchi kwa ujumla.kwahiyo usichukulie kirahisi mambo kama hayo.Tra ni chombo chetu sisi wananchi kinakusanya kodi zetu sisi wananchi kwa niaba yetu ili serikali tuliyoichagua izitumie kutuletea maendeleo.sasa ukiona kuna mtu anatumia wadhifa wake au wa mtu kuhujumu kodi zetu inatakiwa tuwe wakali.Taifa la wanaojitambua huwezi kukuta ujinga wa hivyo.
Huyo anayemrekodi akimaliza haraka sana ahame nchi vinginevyo Jina lake litabadilika.Huyu inatakiwa wawe wanamrecord
Olewa nae tuNatamani mimi ndo ningekuwa Abdullahim
We mgeni wa tawala za kiafrika auUmenena mkuu kuna wajinga wengi humu, angekuwa hayo kayafanya mtu wa kawaida ungesikia kelele nyingi lakini kwa kuwa ni mtoto wa mkubwa wao wanaona sawa tu, ingekuwa nchiza wenzetu hiyo ilitosha kuwa kashfa, mtoto wa masikini alipe kodi na mtoto wa mkubwa asilipe kodi kweli tutafika?