RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Aliyeleta wazo la Tozo za Bank transfer alilenga kila mshahara wa watumishi wa serikali ukatwe kwa sababu mishahara yote inapita benki lakini kasahau kuwa mshahara huo huo umeshakatwa PaYE na kwa sheria za kikodi upaswi kufanya double taxation,Kama ikiendelea wafanyakazi mtaumia Sana.
Angalieni walivyobadilisha jina na kuita TOZO watasema hawafanyi double taxation... Ila ukweli wanaujua na tushaujua mtumishi ulieongizewa tsh 10000/= sasa unarudisha hela serikalini kwa mgongo wa Tozo.
Waziri mzima unajiita Daktari wa Uchumi kweli kwa ujinga huu, hujui mtumishi analipa kodi kila mshahara anaopata mwisho wa mwezi halafu unakuja kumuwekea tozo, tozo kwa ajiri ya nini?
Na neno lenyewe tozo limekaa kama faini au kitu unachotoa sababu umefanya kitu flani au umetumia kitu fulani.
Mfano nauli ya daladala ni tozo ndiyo maana tunasema amenitoza nauli na ikiwa sio sawa tutasema amenitoza nauli kubwa, ila hizi tozo hazina msingi.