Kisikimpingo
Senior Member
- May 23, 2022
- 104
- 99
Tundu Lisu na Lema tafadhali mrudi jamani walioko huku wamepewa asali wamelewa wamekata kauli. Bi Fulani na Mvaa sikafu za bendela wanaliangamiza Taifa mchana kweupe. Mitozo kama yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa ikirudi Serikalini inaenda wapi?Aliyeleta wazo la Tozo za Bank transfer alilenga kila mshahara wa watumishi wa serikali ukatwe kwa sababu...
Sio suala la kupenda au kutopenda ingekuwa hivyo basi ingekuwa hiari.Unaonesha hupendi tozo weye?😂😂😂
Basi serikali isilipe kabisa mishahara wabaki nazo wajenge zahanati, au siyo?Pesa ikirudi Serikalini inaenda wapi?
Pesa ikirudi Serikalini inaenda wapi?
Haya ni ma vietel?👇Inanunua "mavieitee"!
Isipolipa salary huduma atatoa mke wako?Basi serikali isilipe kabisa mishahara wabaki nazo wajenge zahanati, au siyo?
Sasa wewe unatetea nini humu?Isipolipa salary huduma atatoa mke wako?
Natetea tozo Kwa maendeleoSasa wewe unatetea nini humu?
Unatetea tozo wakati tangu asubuhi haujanunua hata mandazi?😂😂😂😂Natetea tozo Kwa maendeleo
Akili 👇Aliyeleta wazo la Tozo za Bank transfer alilenga kila mshahara wa watumishi wa serikali ukatwe kwa sababu mishahara yote ...
Kwa hiyo nanunua bando ila maandazi sinunui si ndio?Unatetea tozo wakati tangu asubuhi haujanunua hata mandazi?😂😂😂😂
Mbona weye una akili kama boga na sijamwambia mtu?,Lipa tozo jamaa yangu.Acha ulalamishi.😂😂😂😂Kwa hiyo nanunua bando ila maandazi sinunui si ndio?
Basi ndio hivyo sijanunua ,wewe una akili kama maandazi.
Hakuna kitu hapo,huwezi jisifia kuongoza Tarafa..Akili 👇
Niko hapa kuunga mkono tozo sijawahi lalamika kama wanaume suruali wa Dar.Mbona weye una akili kama boga na sijamwambia mtu?,Lipa tozo jamaa yangu.Acha ulalamishi.😂😂😂😂
Kiburi ndio kinawaponza, wangeomba ushauri Kwa JK aliweza vipi kuendesha nchi bila tozo na mishahara hewa juu.Wamekosa ubunifu kabisa zaidi ya kuwaibia watu masikini hata kiduchu walichonacho
Kila zama na juzuu zake mkuu.JK atampa mbinu za kale?Kiburi ndio kinawaponza, wangeomba ushauri Kwa JK aliweza vipi kuendesha nchi bila tozo na mishahara hewa juu.
Ya kale ni dhahabu hakuna jipya lolote linalofanyika Sasa hivi duniani, yalishafanyika kabla hujazaliwa.Kila zama na juzuu zake mkuu.JK atampa mbinu za kale?
Ok.Naamini huwa anampa ushauri.Ya kale ni dhahabu hakuna jipya lolote linalofanyika Sasa hivi duniani, yalishafanyika kabla hujazaliwa.