Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana kiburi, akili tu hana. Yeye hana mipango ya maendeleo ya muda mrefu hata kama ipo sio kipaumbele kwake. Anataka kutatua changamoto moja moja inayotokea sio kushughulika na hali ya uchumi kiujumla. Sasa hivi Inatafutwa hela ya ruzuku ya mbolea kwasababu hesabu za mkopo zimegoma. Tarehe 15 imepita na ruzuku haijatolewa bado. Watu tumejisajili na kutia madole gumba mpaka vidole vimepinda na mbolea haijashuka bei.Kiburi ndio kinawaponza, wangeomba ushauri Kwa JK aliweza vipi kuendesha nchi bila tozo na mishahara hewa juu.
Jomo Kenyatta alimwambiaga Nyerere kwamba anaongoza kondoo.Sisi Wakenya huku tunasemanga nchi rahisi kuiongoza kwa Dunia hii ni Tz. Ukiipata waweza iongoza unavyotakaa.
Mwigulu Amos Jigo unahangaika sana kuaminisha kuwa ulilolifanya ni kwa nia njema; ukweli ni kwamba genge lako la urais 2025 mna lengo la kumchonganisha mama na wapiga kura wake ili iwe nafuu kwenu hasa kwenye hatua za awali za michakato.Hakuna kitu hapo,huwezi jisifia kuongoza Tarafa..
Mambo makubwa ni haya hapa 👇
Sio Kila mtu ni mwajiriwa wengine tumedunduliza tu pesa zetu tukasema tukaweke bank alafu mtu anakuja anakuambia nakukata huu ni upumbavutozo tozo hata sehemu hapastahili tozo wao wanaweja tozo et dr.wauchumiView attachment 2330268
Sasa ni hivi,utalipa tozo utake usitakeMwigulu Amos Jigo unahangaika sana kuaminisha kuwa ulilolifanya ninkwa nia njema; ukweli ni kwamba genge lako la urais 2025 mna lengo la kumchonganisha mama na wapiga kura wake ili iwe nafuu kwenu hasa kwenye hatua za awali za michakato.
Kwani kuweka pesa benki ni lazima, subiri report ya quarter ya July- sept uone benki vile wateha watapungua ndo akili itakukaa sawa!!!Sasa ni hivi,utalipa tozo utake usitake
Hizi porojo ndio mlizisema wakati tozo za miamala ya simu zinaanzishwa..Kwani kuweka pesa benki ni lazima, subiri report ya quarter ya July- sept uone benki vile wateha watapungua ndo akili itakukaa sawa!!!
Endelea kuona watanzania zombis, muda wenu waja!!Hizi porojo ndio mlizisema wakati tozo za miamala ya simu zinaanzishwa..
Haya ripoti zinasemaje? 😆😆
Taahira ndio anaweza acha kuweka banks pesa Kisa watamkata elfu 4 Kwa mil.3 na hakuna kitu kama hicho.
Akili 👇
Na weye ukakubali ujinga wake?Jomo Kenyatta alimwambiaga Nyerere kwamba anaongoza kondoo.
Mwigulu alikuwa naibu waziri wa fedha enzi hizo hivyo anafahamu mbinu zilizotumika.Kiburi ndio kinawaponza, wangeomba ushauri Kwa JK aliweza vipi kuendesha nchi bila tozo na mishahara hewa juu.
Inasikitisha sana, lakini siku zao zinahesabika, hawajui athari wanazosababisha kwa watu wa chini kwakuwa wao wako kwenye super scalesAliyeleta wazo la Tozo za Bank transfer alilenga kila mshahara wa watumishi wa serikali ukatwe kwa sababu mishahara yote inapita benki lakini kasahau kuwa mshahara huo huo umeshakatwa PaYE na kwa sheria za kikodi upaswi kufanya double taxation,Kama ikiendelea wafanyakazi mtaumia Sana
Angalienj walivyobadilisha jina na kuita TOZO watasema hawafanyi double taxation... Ila ukweli wanaujua na tushaujua mtumishi ulieongizewa tsh 10000/= sasa unarudisha hela serikalini kwa mgongo wa Tozo
Waziri mzima unajiita dr. wauchumi kweli kwa ujinga huu, hujui mtumishi analipa kodi kila mshahara anaopata mwisho wa mwezi halafu unakuja kumuwekea tozo, tozo kwa ajiri ya nn
Utakuja lini?Endelea kuona watanzania zombis, muda wenu waja!!
Na mimi nakwambia kwamba shughuli za maendeleo zimeanza toka huko nyuma kabla hata ya Samia, kwahiyo watu wanapolalamika utitiri wa tozo si kwamba hawataki maendeleo.Natetea tozo Kwa maendeleo
Kwani zimeisha?Na mimi nakwambia kwamba shughuli za maendeleo zimeanza toka huko nyuma kabla hata ya Samia, kwahiyo watu wanapolalamika utitiri wa tozo si kwamba hawataki maendeleo.
Huyo mjinga Sasa hivi anachowaza ni kuiba pesa tu na kuwaza kugombea Urais.Tozo
Mwigulu alikuwa naibu waziri wa fedha enzi hizo hivyo anafahamu mbinu zilizotumika.