Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Sasa ndio tunashangaa kwamba huu utitiri wa tozo kana kwamba mnataka kuzimaliza au huko nyuma hakukuwa na shughuli za kuleta maendeleo.Kwani zimeisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndio tunashangaa kwamba huu utitiri wa tozo kana kwamba mnataka kuzimaliza au huko nyuma hakukuwa na shughuli za kuleta maendeleo.Kwani zimeisha?
Tunataka kukamilisha ilani ya uchaguzi.Sasa ndio tunashangaa kwamba huu utitiri wa tozo kana kwamba mnataka kuzimaliza au huko nyuma hakukuwa na shughuli za kuleta maendeleo.
Kwahiyo huko nyuma serikali ya ccm ilikuwa haikamishi ilani ya uchaguzi na sasa Samia ndio kaona suluhu yake ni kujaza mitozo?Tunataka kukamilisha ilani ya uchaguzi.
NdioKwahiyo huko nyuma serikali ya ccm ilikuwa haikamishi ilani ya uchaguzi na sasa Samia ndio kaona suluhu yake ni kujaza mitozo?
Yapo na yalikuwepo hata kabla ya tozo zako.... huna justification kwenye hili jamaa yangu, bora ukae kimya!!!Kwani zimeisha?
Tunatekeleza ilani,lipa tozo acha blaa blaa za kijinga.Yapo na yalikuwepo hata kabla ya tozo zako.... huna justification kwenye hili jamaa yangu, bora ukae kimya!!!
Hivi hivyo si vimejengwa kwa mikopo ya covid au ?Madarasa,vituo vya afiya(afya)na "sibitali" zinajengwa.
Hivi hivyo si vimejengwa kwa mikopo ya covid au ?
Kama yeye haoni wala kusikia basi, acha tuoneMwigulu Amos Jigo unahangaika sana kuaminisha kuwa ulilolifanya ni kwa nia njema; ukweli ni kwamba genge lako la urais 2025 mna lengo la kumchonganisha mama na wapiga kura wake ili iwe nafuu kwenu hasa kwenye hatua za awali za michakato.
Ndio nashangaa wanasifia pesa za tozo zao, mambo yanayotokea ni kushangaa tuHivi hivyo si vimejengwa kwa mikopo ya covid au ?
Wizi mtupu.Madarasa,vituo vya afiya(afya)na "sibitali" zinajengwa.
Naona mabeberu kwa mbaaaali!royal tourView attachment 2330422
[emoji23][emoji23][emoji23]Jomo Kenyatta alimwambiaga Nyerere kwamba anaongoza kondoo.