Rais Samia, Mwigulu Nchemba mnafurahi kuumiza watu na wafanyakazi kwa tozo?

Sisi Wakenya huku tunasemanga nchi rahisi kuiongoza kwa Dunia hii ni Tz. Ukiipata waweza iongoza unavyotakaa.
 
Kiburi ndio kinawaponza, wangeomba ushauri Kwa JK aliweza vipi kuendesha nchi bila tozo na mishahara hewa juu.
Hana kiburi, akili tu hana. Yeye hana mipango ya maendeleo ya muda mrefu hata kama ipo sio kipaumbele kwake. Anataka kutatua changamoto moja moja inayotokea sio kushughulika na hali ya uchumi kiujumla. Sasa hivi Inatafutwa hela ya ruzuku ya mbolea kwasababu hesabu za mkopo zimegoma. Tarehe 15 imepita na ruzuku haijatolewa bado. Watu tumejisajili na kutia madole gumba mpaka vidole vimepinda na mbolea haijashuka bei.
 
Hakuna kitu hapo,huwezi jisifia kuongoza Tarafa..

Mambo makubwa ni haya hapa 👇
Mwigulu Amos Jigo unahangaika sana kuaminisha kuwa ulilolifanya ni kwa nia njema; ukweli ni kwamba genge lako la urais 2025 mna lengo la kumchonganisha mama na wapiga kura wake ili iwe nafuu kwenu hasa kwenye hatua za awali za michakato.
 
Kwani kuweka pesa benki ni lazima, subiri report ya quarter ya July- sept uone benki vile wateha watapungua ndo akili itakukaa sawa!!!
Hizi porojo ndio mlizisema wakati tozo za miamala ya simu zinaanzishwa..

Haya ripoti zinasemaje? 😆😆

Taahira ndio anaweza acha kuweka banks pesa Kisa watamkata elfu 4 Kwa mil.3 na hakuna kitu kama hicho.
 
Hizi porojo ndio mlizisema wakati tozo za miamala ya simu zinaanzishwa..

Haya ripoti zinasemaje? 😆😆

Taahira ndio anaweza acha kuweka banks pesa Kisa watamkata elfu 4 Kwa mil.3 na hakuna kitu kama hicho.
Endelea kuona watanzania zombis, muda wenu waja!!
 
Akili 👇

Huyu Hussein Mwinyi asingefanya maamuzi ya ajabu ajabu tunayoyaona sasa hivi kila sehemu.

At least kwenye safu ya juu kungekuwa uwezo fulani wa kufikiri, kuja na Sera rafiki wananchi.

Umeme, maji, mafuta, mbolea, gesi, machinga, mama ntilie, tozo, kodi, Bwawa la umeme, SGR, bandarini, Airports, Ngorongoro, kila sehemu matatizo.
 
Tozo
Kiburi ndio kinawaponza, wangeomba ushauri Kwa JK aliweza vipi kuendesha nchi bila tozo na mishahara hewa juu.
Mwigulu alikuwa naibu waziri wa fedha enzi hizo hivyo anafahamu mbinu zilizotumika.
 
Inasikitisha sana, lakini siku zao zinahesabika, hawajui athari wanazosababisha kwa watu wa chini kwakuwa wao wako kwenye super scales
 
Inasikitisha sana, lakini siku zao zinahesabika, hawajui athari wanazosababisha kwa watu wa chini kwakuwa wao wako kwenye super scales
royal tour
 
Mshahara unakatwa kodi mara mbili, mwigulu waoenee huruma wafanyakazi
 
Tozo

Mwigulu alikuwa naibu waziri wa fedha enzi hizo hivyo anafahamu mbinu zilizotumika.
Huyo mjinga Sasa hivi anachowaza ni kuiba pesa tu na kuwaza kugombea Urais.

Huwezi kuamini ameagiza Toyota land cruiser V8 VXR la kutembelea yeye waziri wa fedha lenye thamani ya shilling million 480.

Mama akiendelea kuwachekea hao wahuni hata tunaomuunga mkono Kwa muda tutamgeuka na atang'oka ikulu kiulaini.

Ukitaka kuwatawala maskini hakikisha wanakula na kunywa pombe bila shida, utawatawa mpaka uchoke, lakini ikifikia kuilisha familia Milo mitatu ni issue halafu kuna wahuni kama huyu Mwigulu wanakula keki ya Taifa peke yao nchi inaweza isitawalike.

Lakini Salama yao ni mazuzu yaliyojaa Tanzania yako bize kugombea jezi za Simba na Yanga na utumwa wa kushabikia let's mzungu, huo ndio mtaji mkubwa wa Ccm, no ujinga wa Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…