Rais Samia, Mwigulu Nchemba mnafurahi kuumiza watu na wafanyakazi kwa tozo?

Nimefanya kazi,mshahara wangu baada ya kukatwa kodi(PAYE) unaingizwa benki,kwenda kuichukua hiyo hela ambayo tayari Serikali umeshachukua kodi yake ninakatwa kodi nyingine iliyobatizwa jina la tozo. Huu unyang'anyi lazima ukomeshwe
 
Yaani INPUT=OUTPUT.
Kazi iendelee.
 
Kila ubaya utalipwa
 
M7 aliulizwa mwananchi wake kwenye ziara mojawapo kuwa "baba sukari mbona inapunja sana wakati inatngenezwa nchini?"baada ya ilo swali kumchanganya, aliamua kumtuma afisa wake ili amuulize yule mwananchi kuwa sukari inauzwa bei gani.Baada ya majibu M7 akasema nilifikiri kilo moja ya sukari inauzwa sh.60,000, kumbe bado inauzwa sh.7,000 tu?
 
Hata ukilia haisaidii.Tulia ule mboko.Ukiletewa changamoto ndiyo akili inafanya kazi uzuri.
Wewe unaonekana ni mwizi tu hulipi kodi wala tozo, hapa tuachie peleka ufala wako kwa wapuuzi wenzako kina Mwigulu na PHd yake fake ya copy & paste
 
Na kila kitu sasa kimepanda kwa ajiri ya tozo, DSTV sasa kifurushi kimeongezeka 51,000-55,000 Tshs, hii ni kutiana full umaskini, Mwigulu akishinda hata ubunge bila wizi nitashangaa sana na tozo itakuwa halali
 
Wewe unaonekana ni mwizi tu hulipi kodi wala tozo, hapa tuachie peleka ufala wako kwa wapuuzi wenzako kina Mwigulu na PHd yake fake ya copy & paste
Ufala,ujinga na upuuzi umekujaa weye unaye lialia kama binti yupo leba.Lipa tozo kenge weye!Kwa teknolojia iliyopo unakwepaje kulipa?Utalipa hata ukinunua kondomu.Changamsha akili.Acha kujiliza kama unabakwa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe unaonekana ni mwizi tu hulipi kodi wala tozo, hapa tuachie peleka ufala wako kwa wapuuzi wenzako kina Mwigulu na PHd yake fake ya copy & paste
 
Ni lazima uangalie DsTv?Nenda porini kaangalie pimbi wenzio.Unalalamika halafu ukifika uchaguzi unajilegeza macho kuitetea CCM.Kenge mmoja!
Na kila kitu sasa kimepanda kwa ajiri ya tozo, DSTV sasa kifurushi kimeongezeka 51,000-55,000 Tshs, hii ni kutiana full umaskini, Mwigulu akishinda hata ubunge bila wizi nitashangaa sana na tozo itakuwa halali
 
Kuliwahi kufanyika maandamano makubwa nchini Ufaransa ya wananchi kudai mkate, wananchi walipitia kipindi kigumu sana kiasi kwamba hawakuweza hats kupata mkate.

Baada ya Mke wa mfalme kuona maandamano makubwa nje akamuuliza mume wake yani mfalme, maandamano haya makubwa hawa watu wanadai mini? Mfalme akamjibu Mke wake wanataka mkate na mkate hakuna, Mke akamwambia mfalme kama mkate hakuna si uwape keki?

Ndivyo maisha yalivyo, usimshangae Museven.
 
Mwigulu ni mweupe, uchumi haujui - huwezi kuwa mtoza ushuru mkuu wa nchi huku ukifuata uchumi wa vitabuni ni hatari kwa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…