Anna Nkya
Member
- Oct 21, 2021
- 69
- 341
Napenda namna ambavyo Rais Samia hakurupuki kwenye majibu.
Mara kadhaa ameombwa vitu hadharani, hakujibu kwa mhemko kama wafanyavyo wanasiasa wasiojielewa.
Mfano, watu wa Chato wamewahi kuweka ombi lao la Mkoa mara mbili hadharani. Askofu Shoo wa KKKT aliomba barabara na vitu vingine.
na zipo sehemu nyingi tu ambazo angekuwa mwanasiasa wa kutafuta masifa ya haraka angeweza kutoa majibu ya kuridhisha kelele za watu.
Lakini mara zote Samia anasema "Tumeyachukua, tutafanyia kazi.."
Zingatia sana anavyoonesha kwamba ni mtu wa 'Team Playing'. Anasema ' TUTA' ,
Ni Rais mwenye kutupa matumaini hakika, nchi imejaa furaha, MEMA ZAIDI YANAKUJA MBELE