Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Mada kama hii huwezi kupata wachangiaji humu jf.Tanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo.
Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana, kwani sasa nyeusi tutaita nyeupe maadam tu mwenzetu kasema.
Chukulia kwa mfano uamuzi wa serikali ya awamu ya sita kuondoa "retation fee" kwenye madeni ya mikopo ya elimu ya juu. Ingawa jambo hili limetua mzigo kwa wanufaika wa mikopo hiyo wa kuwa na deni linalokua kila mwaka, lakini bado tunaaminishwa serikali haijali vijana.
Vijana walioingia kwenye soko la ajira katika kipindi cha mwaka 2015-2021, na watuambie katika kipindi hicho waliona matangazo mangapi ya ajira za serikali?
Ni kipindi hicho hicho watumishi hususani wa serikali kuu walikaa bila kupanda cheo wala kimo na wakaufyata. Lakini leo hali ni tofauti.
Sipo hapa kusema selikali ya awamu ya sita ni serikali ya malaika, hapana! Inayomapungu yake, lakini hayo mapungufu yasiwe sababu ya kuiona kuwa haijafanya zuri lolote, kwani kusema hivyo ni kujidanganya wenyewe.
Kama nchi tutanufaika sana kujenga utamaduni wa kupenda mijadala ya maswala na hoja kuliko ushabiki wa kivyama
Tanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo.
Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana, kwani sasa nyeusi tutaita nyeupe maadam tu mwenzetu kasema.
Chukulia kwa mfano uamuzi wa serikali ya awamu ya sita kuondoa "retation fee" kwenye madeni ya mikopo ya elimu ya juu. Ingawa jambo hili limetua mzigo kwa wanufaika wa mikopo hiyo wa kuwa na deni linalokua kila mwaka, lakini bado tunaaminishwa serikali haijali vijana.
Vijana walioingia kwenye soko la ajira katika kipindi cha mwaka 2015-2021, na watuambie katika kipindi hicho waliona matangazo mangapi ya ajira za serikali?
Ni kipindi hicho hicho watumishi hususani wa serikali kuu walikaa bila kupanda cheo wala kimo na wakaufyata. Lakini leo hali ni tofauti.
Sipo hapa kusema selikali ya awamu ya sita ni serikali ya malaika, hapana! Inayomapungu yake, lakini hayo mapungufu yasiwe sababu ya kuiona kuwa haijafanya zuri lolote, kwani kusema hivyo ni kujidanganya wenyewe.
Kama nchi tutanufaika sana kujenga utamaduni wa kupenda mijadala ya maswala na hoja kuliko ushabiki wa kivyama
Nonsense. Hivi kwa nini mnataka kutuaminisha kwamba kuna serikali halali. Na tuhiheshimu na kuisikilza. Pumbavu sana weweTanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo.

Zilipendwa.

Huyo kahaba hasafishiki hadi ungemtia kwenye bwawa lililo mwagwa OMO zilizobebwa ma meli kumi..Mada kama hii huwezi kupata wachangiaji humu jf.
Hapa weka mada ya kumponda Samia uone utavyoungwa mkono bila kujali uongo utakaosema
Naam, siyo kwamba serikali haifanyi mazuri. Napingana na yeyote mwenye huo msimamo, hasahasa kwenye suala la ajira. Serikali hii imejitahidi saana sana kupita awamu nyingi hapo nyuma. Hili ni jukumu lakeTanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo.
Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana, kwani sasa nyeusi tutaita nyeupe maadam tu mwenzetu kasema.
Chukulia kwa mfano uamuzi wa serikali ya awamu ya sita kuondoa "retation fee" kwenye madeni ya mikopo ya elimu ya juu. Ingawa jambo hili limetua mzigo kwa wanufaika wa mikopo hiyo wa kuwa na deni linalokua kila mwaka, lakini bado tunaaminishwa serikali haijali vijana.
Vijana walioingia kwenye soko la ajira katika kipindi cha mwaka 2015-2021, na watuambie katika kipindi hicho waliona matangazo mangapi ya ajira za serikali?
Ni kipindi hicho hicho watumishi hususani wa serikali kuu walikaa bila kupanda cheo wala kimo na wakaufyata. Lakini leo hali ni tofauti.
Sipo hapa kusema selikali ya awamu ya sita ni serikali ya malaika, hapana! Inayomapungu yake, lakini hayo mapungufu yasiwe sababu ya kuiona kuwa haijafanya zuri lolote, kwani kusema hivyo ni kujidanganya wenyewe.
Kama nchi tutanufaika sana kujenga utamaduni wa kupenda mijadala ya maswala na hoja kuliko ushabiki wa kivyama
Ndiyo hapo inatakiwa ujiulize, how terrible is her regime? Kwanini ukweli mchungu wa kumsema Samia unapata support kubwa?Mada kama hii huwezi kupata wachangiaji humu jf.
Hapa weka mada ya kumponda Samia uone utavyoungwa mkono bila kujali uongo utakaosema
Ukiona mtu anapingwa sana ujue mabaya yake vs mazuri yake tofauti ni kubwa mno, yaani mabaya ni mengi na hayo mabaya ni unbearable.Tanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo.
Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana, kwani sasa nyeusi tutaita nyeupe maadam tu mwenzetu kasema.
Chukulia kwa mfano uamuzi wa serikali ya awamu ya sita kuondoa "retation fee" kwenye madeni ya mikopo ya elimu ya juu. Ingawa jambo hili limetua mzigo kwa wanufaika wa mikopo hiyo wa kuwa na deni linalokua kila mwaka, lakini bado tunaaminishwa serikali haijali vijana.
Vijana walioingia kwenye soko la ajira katika kipindi cha mwaka 2015-2021, na watuambie katika kipindi hicho waliona matangazo mangapi ya ajira za serikali?
Ni kipindi hicho hicho watumishi hususani wa serikali kuu walikaa bila kupanda cheo wala kimo na wakaufyata. Lakini leo hali ni tofauti.
Sipo hapa kusema selikali ya awamu ya sita ni serikali ya malaika, hapana! Inayomapungu yake, lakini hayo mapungufu yasiwe sababu ya kuiona kuwa haijafanya zuri lolote, kwani kusema hivyo ni kujidanganya wenyewe.
Kama nchi tutanufaika sana kujenga utamaduni wa kupenda mijadala ya maswala na hoja kuliko ushabiki wa kivyama
Eti Dr. pumbavu kabisaNonsense. Hivi kwa nini mnataka kutuaminisha kwamba kuna serikali halali. Na tuhiheshimu na kuisikilza. Pumbavu sana wewe
Nakuunga mkono mtu kafanya mambo mazuri kama haya ya kuua makafiri wa kinasara tusimpongezeTanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo.
Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana, kwani sasa nyeusi tutaita nyeupe maadam tu mwenzetu kasema.
Chukulia kwa mfano uamuzi wa serikali ya awamu ya sita kuondoa "retation fee" kwenye madeni ya mikopo ya elimu ya juu. Ingawa jambo hili limetua mzigo kwa wanufaika wa mikopo hiyo wa kuwa na deni linalokua kila mwaka, lakini bado tunaaminishwa serikali haijali vijana.
Vijana walioingia kwenye soko la ajira katika kipindi cha mwaka 2015-2021, na watuambie katika kipindi hicho waliona matangazo mangapi ya ajira za serikali?
Ni kipindi hicho hicho watumishi hususani wa serikali kuu walikaa bila kupanda cheo wala kimo na wakaufyata. Lakini leo hali ni tofauti.
Sipo hapa kusema selikali ya awamu ya sita ni serikali ya malaika, hapana! Inayomapungu yake, lakini hayo mapungufu yasiwe sababu ya kuiona kuwa haijafanya zuri lolote, kwani kusema hivyo ni kujidanganya wenyewe.
Kama nchi tutanufaika sana kujenga utamaduni wa kupenda mijadala ya maswala na hoja kuliko ushabiki wa kivyama
Na ndiyo uthibitisho kuwa Samia ni mwovu kuliko ibilisi, haiwezekani watu wengi wakukatae halafu wapuuzi wachache ndiyo wakukubali.Mada kama hii huwezi kupata wachangiaji humu jf.
Hapa weka mada ya kumponda Samia uone utavyoungwa mkono bila kujali uongo utakaosema
Zilipendwa.
Marudio tu haya, zilipendwa. Tafuta jipya jitahidi kuwa mbunifu
Kumbe kipimo ni hapa jf!!Na ndiyo uthibitisho kuwa Samia ni mwovu kuliko ibilisi, haiwezekani watu wengi wakukatae halafu wapuuzi wachache ndiyo wakukubali.