Rais Samia na dhana ya "Baniani mbaya kiatu chake dawa"

Ukiona uthaminiwi jua kuna kitu umefanya kimeondoa uthamani huo.
 
Mimi nilichojifunza watanzania wengi ni wapumbavu na wafuata mkumbo.
 
Kwahiyo watu kupanda madaraja ni hisani siku hizi na sio kwa mujibu wa sheria mtu apatapo sifa stahiki ?

Kwahiyo mauaji kwako ni jambo jema sababu kuna watu wanapanda madaraja ?
Kwa hiyo wakati Magu anapiga pin madaraja kupanda hakukuwa na hizo sheria?
Kama sheria zilikuwepo kwanin mliufyata huo mkia wenu?
 
Hiki ulichosema ni kweli, lakini kitendo cha kutoheshimu demokrasia na haki ndio kimetufikisha hapo. Unaingia madarakani kwa kupora madaraka, kisha unataka watu waone mazuri yako, hilo halipo na halitakuwepo.
 
Zilipendwa.
Hili hatutakaa tusahau, na mwambie Samia kwenye hili atajibu yeye na walioshiriki kufanya mauaji haya ili wabaki madarakani. Kama mnaamini haya mauaji yatapita na kusahaulika mnajidanyanya wenyewe.
 
Kwa hiyo wakati Magu anapiga pin madaraja kupanda hakukuwa na hizo sheria?
Kama sheria zilikuwepo kwanin mliufyata huo mkia wenu?
Si kila siku tunawashangaa wanaomsifia Magufuli humu? Ni mara ngapi watu wanajitokeza kumsifia Magufuli humu, lakini tunajitokeza na kuweka record sawa kuwa Magufuli hakuwa kiongozi bora bali mlevi wa madaraka?
baz kaiza
 
Weka chuki pembeni utayaona mazuri ya Magufuli
 
Magufuli hakuwa malaika! Yapo mazuri mengi aliyoyafanya, kadhalika alikuwa na mapungufu yake pia. Tukitaka kumtendea haki, tunapomsema, tusiseme mapungufu yake tu, that is bias! Tumseme na kwa mazuri yake pia.
 
Weka chuki pembeni utayaona mazuri ya Magufuli
Sina sababu ya kumpenda, kwako ni mazuri kwangu ni kutekeleza majukumu yake maana alikuwa analipwa mshahara kufanya hivyo na sio hisani. Ninamzungumza Magufuli alivyokuwa na sio mazuri yake.
 
Magufuli hakuwa malaika! Yapo mazuri mengi aliyoyafanya, kadhalika alikuwa na mapungufu yake pia. Tukitaka kumtendea haki, tunapomsema, tusiseme mapungufu yake tu, that is bias! Tumseme na kwa mazuri yake pia.
Mimi simzumgumzi negatively au positively, bali namzunguza alivyokuwa. Alikuwa mchapa kazi, na mlevi wa madaraka. Hivyo ndio alivyokuwa.
 
Zilipendwa.
MWENYE MAMLAKA YA ULIMWENGU HUU AKUREHEMU.

Mauaji ya kikatili namna hii unaita zilipendwa???

Huu MSIBA hautaisha. Tutapiga kelele tukiwa hai, na hata tukifa bado tutaendelea kupiga kelele popote tutakapokuwa.

WAO walikuwa kama SISI, na SISI tutakuwa kama WAO.
 
Ili kuweza kuona uzuri ndani ya lundo la ubaya uchawa unahitajika. Macho ya mtu ambaye siyo chawa hayaoni miti, yanaona pori. This is a big picture issue!
 
Mantiki ya “mazuri na mabaya” au “mema na mapungufu” haifanyi kazi kila mahali au kwa kila kitu au kwa kila jambo.

Kwa mfano huwezi kutaka mjadala wa mazuri na mabaya ya gaidi au shetani au malaika au mungu. Hapo kipimo ni kimoja tu. Mjadala hauwezi kuwepo.
 
Hata Yesu alipingwa sn mpk watu wakapanga kumuua
Yesu alipingwa na utawala King Herod Antipas, hapa Samia ndiye mtawala(ndiyo TZ modern era 'King Herod Antipas).
NB: Samia hapingwi na utawala kwani yeye ndiye mtawala, anapingwa na common citizens.
 
Sina sababu ya kumpenda, kwako ni mazuri kwangu ni kutekeleza majukumu yake maana alikuwa analipwa mshahara kufanya hivyo na sio hisani. Ninamzungumza Magufuli alivyokuwa na sio mazuri yake.
Bingo, mtu anafanya kazi na analipwa lakini eti asifiwe na apambwe kwa kufanya kazi ambazo sadly hazifanyi kwa uadilifu, uaminifu wala hazifanyi kwa ukamilifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…