Rais Samia na Lissu, mwanzo mzuri kwa Watanzania, ndicho tulichokifanya hapa Kenya

Aisee, nimeelewa sasa kwanini hawa 'mataga' walinuna sana. Baada ya ule uchaguzi mkuu wa hivi majuzi kuisha kwa amani nchini Kenya. Uchawi ndio asili ya hawa vinyangarika, bure kabisa!
 
Jamaa walitoweka wote kwenye hili jukwaa pindi tu baada ya uchaguzi wa Kenya kuhitimishwa kwa amani, walikua wanakesha humu wakitukumbusha jinsi tutacharangana mapanga.
 
Back
Top Bottom